Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
police hawa wa Tanzania wenye kupokea rushwa na wasiojua kusoma wala kuandika wana uwezo wa kumfanyia mtu vetting mkuu,au unazungumzia police wa huko duniani?
Yaani ndio akili yako ilipo kutuma?acha wivu wa kike..
Hapa tra muwe makini sana.TRA kufukuzwa nje nje,kuna jamaa yetu alikuwa tra mtukula alifukuzwa kazi kwa fitna akafungua kesi sijui iliishia wapi ila akapata kazi Aghakan Mtwara.Siku hizi sijui yuko wapi
Yani huyu Mkuu amenipanikisha.Si bora usingeomba pengine nafasi yako ningepata mimi jamani kweli mwenye nacho na ataongezewa
Huyu nae ni miongoni mwa waliopata kazi TRA????????
Kumbe kweli kupita kwenye ile interview ilikuwa ni zari tu na sio vinginevyo.
Hapana TRA kufukuzwa rahisi kwa taarifa yako kuliko binafsi.Tatizo kampuni binafsi kufukuzwa nje nje tofauti na serikali.
Ulifanya interview ya nini ikiwa ulikua huna shida nayo nyie ndiyo mnazibia wenzenu nafasi.
Word...Wakati unaomba kazi na kufanya interview ulikuwa hujafanya maamuzi? Kama unaamini katika kuajiriwa na kufanikiwa kupitia ajira ya serikali nenda TRA.Kama unaamini kwenye kujiajiri,achana na TRA endelea na wachina,weka malengo na pambana kuhakikisha yanafanikiwa.Kama unapenda bata na kuendesha magari na mademu nenda TRA.
Eti eee...?Njoo tra mkuu, hautajutia
sureKama suala dogo kma Hili unashindwa kujisimamia mwenyewe utakuwa hujitambui..me sina ushauri kwa MTU kama huyu..