financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,520
Mi nahisi huko TRA pia kuna mazingira/vishawishi vya rushwa rushwa hivi nk. hivyo usipojua majukumu na maadili ya kazi yako lazima yakupate hayo na hata huyo aliyefukuzwa huenda kuna vitu alizingua , hivyo uaminifu ni muhimu ili kudumu kene chombo mkuuTRA kufukuzwa nje nje,kuna jamaa yetu alikuwa tra mtukula alifukuzwa kazi kwa fitna akafungua kesi sijui iliishia wapi ila akapata kazi Aghakan Mtwara.Siku hizi sijui yuko wapi
HahaaaUzuri wa ajira ya serikalini ni ya kudumu. Ni sawa sawa na mwanamke aliyezaliwa na wowowo. Hiyo ni zawadi ya kudumu mpaka anakufa nayo!
Hahahaaa umenikumbusha wimbo mmoja unaitwa wowowooooUzuri wa ajira ya serikalini ni ya kudumu. Ni sawa sawa na mwanamke aliyezaliwa na wowowo. Hiyo ni zawadi ya kudumu mpaka anakufa nayo!
kivipi?
thanx bro..nimejikuta naipenda sana kazi ya sales ingawa haikuwahi kuwa ndoto yanguBaki wachina utapata exposure ya kutosha ila kufanya kazi serikalini kuna shida sana Mara nyingi unakuwa hauna Uhuru Muda mwingi unafanya kazi za serikali halafu baki kwa wachina tengeneza maisha.
police hawa wa Tanzania wenye kupokea rushwa na wasiojua kusoma wala kuandika wana uwezo wa kumfanyia mtu vetting mkuu,au unazungumzia police wa huko duniani?VETTING
investigate (someone) thoroughly, especially in order to ensure that they are suitable for a job requiring secrecy, loyalty, or trustworthiness.
"each applicant will be vetted by police"