Acha uongo.nauli za lin hizi??
-Dar mpaka h/re ni 80000tsh
-H/re jo'berg ni 250/300.sa rand ambayo ni kama 50000tsh
-jo'berg mpaka cape ni 600rand ka intercape hzo ni bus za luxually.pia kuna bus mpaka za 400
Nenda Mauritius hutajuta.
Ni rahisi kupata agents wa kupokea bidhaa toka Tanzania kwenda huko.
Hakujafunguka sana kama S.A.
Watu wa kule ni wakarimu sana, unaweza ukagoma kurudi.
Gelofriend Najua zile camera zako zilivyo nzito +zubeda lako la nguo. Nahisi vitakushinda tu kubeba alonooo, na huwezi kumsumbua boss akusaidie kubeba. Afu me siongeagi barabarani wala kula sana, kwa hiyo sitawabugudhi safarini. Tutaenjoy kwa kweli
Weee bora hata uende songea, south africa hapafai wanakatakata watu na mapanga kuleee, alafu mauritius kuna mafuriko. Heaven Sent njoo umuone boss wako anatoa experience ya nchi alizotembelea ndotoni.
Hahahhah boss lady nakuaminia. Ushatembelea nchi zote ndotoni. Next time nichukue tu na mimi ndotoni, maana sijawahi hata kuvuka mpaka jamani
Umewahi kufika Mauritius mkuu?Nenda Mauritius. Na kama hujaoa hata mchumba waweza opoa huko.
Sisemi zaidi. Ila ni watu wakarimu MNO!
Vipi fursa za biashara ya chakula maharage na Michele toka tz kwa MozambiqueKama Unaenda S\Africa nipitie msumbiji hapa tupige story kidogo
Kafilw* huko bwana weee acha maneno asubuhi yote hiiWewe ni mjinga