Niende PCM au PCB ?

nenda ile aliyosomea raisi wetu magufuli.
 
Ukirudi utakuta ushauri hapa: "SOMA ZOTE" maana unaakili sana. Sawa?!
 
Huwez kujua upite wapi akat unapoenda hupajuii,,
Yaan watoto siku ezi cjui mnafuatiliaga nn kama mtu hadi 4m four hujuiii ukasome nn,,,,,,,
 
Umepata one ya kumi au siyo, gonga pcm ukiwa ukiwa unajua kuwa unakuja kuwa Fundi haijalishi ni fundi wa wa nini, aliyepata div 2 PCB atakuja kuwa dactari, alive pats div 3 ya mwisho HGL anaweza akakosa shule ya goverment akaenda private akatusua vilevile akajakuwa mwanasiasa( mbunge) hatimaye Waziri wote mkawa chini yake, hapo ndipo utakapojua kwamba siasa inalipa Tanzania kuliko hivo vingine
 
kama hadi sasa hujui ni kipi unatakiwa kusomea basi wewe future yako inamashaka sana
 
Mkuu kumbe huyu jamaa alikuwa na nguzi nyingi hivi ambazo hazisomeki?
 
Nenda
CCP mkuu nadhani patakufaa!hhahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…