loh, hii nchi kweli ina vichwa? mwenetu hauna kazi? au wewe mwanafunzi hauna cha kufanya glossary saa4 unaenda kula supu unabeba na kondomu? na huyo mwanamke naye hana kazi au?..kua uyaone!:der::der:
tanzania bila ukimwi........
hahaha nenda na pesa na sio hela
kwa kuwa ghafla nimeshindwa kumwambia kuwa nataka kumla, ila chating yetu ilikuwa inaelekea huko.Utata ni kipi nikipe kipaumbele, hela au Kondom?
Ila akitanguliza saundi ataokoa pesa nyingi
Jiandae kwenda kulipa kodi ya chumba... 60,000 x 6 = 360,000/=. Utalipia soft drinks na baadae lunch mtakayokula (roughly 30,000). Ukitema huo mkwanja wa kodi leo leo, na ukawa mjanja baadae mtaenda kugwegwedana... sh minimum 30,000 chumba, ndom 2,500, (hatataka salama wala dume za 200), lakini pia utamlipia bajaji ya kurudi kwa at least 5,000.
Andaa laki nne na nusu ikiwa ni pamoja na tahadhari (anaweza kuwa na rafiki yake wakati wa lunch)... Siku njema buzi...