Mwafrika Halisia
Member
- Feb 14, 2022
- 76
- 112
Level ya diploma wamenichagua dentistry kakaUngetumia cheti cha form 4 uchukue diploma ya Clinical Officer au Nursing..
Hizo zote hapo juu hazina future kiviiile..
Ahsante Kaka anguNenda degree toa mawazo ya kuajiriwa huko kichwani, degree itakujenga uwezo wa kupambanua mambo kuliko diploma ambayo ukimaliza utaishia kufanya kazi za kuajiriwa kwa salary ya laki tisa,
Kama una malengo makubwa nenda degree kama una malengo ya karne ya 19 nenda diploma
Daah ,saw nimekuelewa kakaClinical dentistry ina future ila sema chuo ulichopata sio kizuri. Kama unajiweza kifedha kapige shule, ila mwakani ufanye mpango wa kuhama.
Pia kwa kozi hiyo diploma unapata mkopo.
Ahsante kaka anguHivi vitu bana ushauri hua mgumu kutoa maana unakuta hujaweka nyama za kutosha.
Ungeweka vitu kama family background, personal interest zako, unaishi wapi, nani anaenda kulipia hizo gharama za masomo n.k.
Nasema hvo kwa sababu ya vitu 2.
1. Huko dentistry, hakuna watu wengi so opportunity unaeza kupata though ukijitahd ukapiga zaidi ukafungua clinic yako mwenyewe utapata mihela.
2. Huko arusha, wel inategemeana pia. Mqana ukiimaliza hyo kozi kaa ukijua suala la kupata kazi hadi ujuqne na watu n.k.
All in all n story ndefu
Asikutishe mkuu kwasasa elimu ya diploma vyuo vyote sawa tena private ndo wanafundisha hasa bahati mbaya wanafunzi ndo huwa wazembe...nenda kajitume utatoboa ila hakikisha unatoka na GPA mlima usipate chini ya 4.5 vingonevyo utakuja kujuta huko mbele kama utataka kuendelea.Daah ,saw nimekuelewa kaka
Clinical dentistry ina future ila sema chuo ulichopata sio kizuri. Kama unajiweza kifedha kapige shule, ila mwakani ufanye mpango wa kuhama.
Pia kwa kozi hiyo diploma unapata mkopo
Ahsante kaka,kwa ushauri🙏Asikutishe mkuu kwasasa elimu ya diploma vyuo vyote sawa tena private ndo wanafundisha hasa bahati mbaya wanafunzi ndo huwa wazembe...nenda kajitume utatoboa ila hakikisha unatoka na GPA mlima usipate chini ya 4.5 vingonevyo utakuja kujuta huko mbele kama utataka kuendelea.
Najua watakuja watu watakiambia GPA ya 3 inatosha ila uliza wenye hizo kwasasa wana wakati gani.
Kwangu Mimi zote nimefall in love Kaka angu, ndio maana nahitaji ushauri wenu ndugu yang 🙏Kwanza wewe una mahaba na nini kati ya hizo chaguzi mbili??
Mtu ana D ya geography unataka akapate 4.5, never.Asikutishe mkuu kwasasa elimu ya diploma vyuo vyote sawa tena private ndo wanafundisha hasa bahati mbaya wanafunzi ndo huwa wazembe...nenda kajitume utatoboa ila hakikisha unatoka na GPA mlima usipate chini ya 4.5 vingonevyo utakuja kujuta huko mbele kama utataka kuendelea.
Najua watakuja watu watakiambia GPA ya 3 inatosha ila uliza wenye hizo kwasasa wana wakati gani.
Mzee Diploma huko kuna watu walipiga vijiti na wakayoka na GPA mbovu na kuna walikua na matokeo ya kawaida wakapiga vibanda...hiyo ni level nyingine ya elimu mzee wote mnaanza moja.Mtu ana D ya geography unataka akapate 4.5, never.
Ahsante Sana kaka angu,soma CD itakusaidia kijana
Kaka angu nimetumia Chet cha form four kwa diploma ,Mtu ana D ya geography unataka akapate 4.5, never.
Nenda kachukue diploma ya dentist kwasababu unaweza ukaajiriwa napia unaweza ukajiajiri.Kwangu Mimi zote nimefall in love Kaka angu, ndio maana nahitaji ushauri wenu ndugu yang 🙏
Then nikuambie jambo acha mchecheto kuokota okota kila kitu unapaswa uamue uamuzi mmoja kudandia kila jambo italupotezea focus na kupoteza muda.Ahsante Sana kaka angu,
Kaka angu nimetumia Chet cha form four kwa diploma ,