Niende au nisiende?

sawa kaka lkn hujanitajia kazi zipi kwa mfano....

Kaz zote mana scale ni moja ila wao wanachofanya ni kushusha kama ilikua upate lak 9 mzumbe kwa post hio hio kwa kuanzia wao utakuta lak 6 wanaishusha
 
Hata kama wanamtaka mmoja na washamwandaa ntaenda. Kuna experience utapata hapo kuliko kubaki unakula mirungi arusha
Hata makufuli alichukua fomu huku akijua kuna majina ya mfukoni
 
Duh yaani watu 33 ndo unalalamika hhahaah na sisi tuloitwa 600+ utumishi
 
Hata kama wanamtaka mmoja na washamwandaa ntaenda. Kuna experience utapata hapo kuliko kubaki unakula mirungi arusha
Hata makufuli alichukua fomu huku akijua kuna majina ya mfukoni

ha ha ha,mkuu me situmii mirungi.
 
Mkuu watu 33 unaona wengi? For sure i wish ningekuwa mimi. Sijawai fanya interview ya watu wachache hivyo. Nimezoea watu nyomiiii unakuta watu 800,12000,10000,700,juzi tu nimetoka kufanya tulioitwa ni watu 394 kwa Nafasi moja nikaona wachache kishenzi.
 
aridhi university, sisi tumeitwa 144, nafasi 2, ila naenda tu
 
We tangana si uko m'power? ??unakula 630000 na kufunga solar
Ndo maana una kiburi. .njoo huku mjini uone maisha yanavyoenda uko offgrid wanakuharibia career yako tu..
 
NITAJIENI MSHAHARA WA T.A VYUO VYA SERIKALI KWANZA HAPA,
ND'O NIENDE KWENYE INTAVYUu.
 
We tangana si uko m'power? ??unakula 630000 na kufunga solar
Ndo maana una kiburi. .njoo huku mjini uone maisha yanavyoenda uko offgrid wanakuharibia career yako tu..

m power nilidumu miezi miwili tu nikasepa kijana.
 
Una mambo mawili ambayo yanasomeka kwa zaidi ya ulicho kiandika:-
1- Una hofu na mashaka/ Haujiamini
2- Una njia m-badala/ Kazi nyingine
Naomba nikukumbushe wakale walipo sema... Heri mtembea bure, kuliko mkaa bure.
 
yote hayo uliyoandika ni majibu mkuu,mbaya zaidi nimegundua katka hyo nafasi anatakiwa mtu mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…