sawa kaka lkn hujanitajia kazi zipi kwa mfano....
Kaz zote mana scale ni moja ila wao wanachofanya ni kushusha kama ilikua upate lak 9 mzumbe kwa post hio hio kwa kuanzia wao utakuta lak 6 wanaishusha
sawa kaka lkn hujanitajia kazi zipi kwa mfano....
Nimeitwa kwenye usaili kwenye chuo kikuu kimoja maarufu jijini dar kilichoko karibu na mlimani city ,idadi ya watu tulioitwa kwenye hyo nafasi ni 33 ila sijajua wanataka watu wangapi.
Sasa nauliza niende au nisiende maana niko arusha kwa sasa na usaili ni tarehe 13 mwezi huu ila hofu yangu ni kuwa naweza nikapoteza muda na gharama zangu kumbe wao huko wana watu wao waliowaandaa.
Tupeane mawazo wakuu.
Una mambo mawili ambayo yanasomeka kwa zaidi ya ulicho kiandika:-
1- Una hofu na mashaka/ Haujiamini
2- Una njia m-badala/ Kazi nyingine
Naomba nikukumbushe wakale walipo sema... Heri mtembea bure, kuliko mkaa bure.