Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,614
Njoo pmMwanzo sikuamini kabisa katika mambo haya. Lakini si unajua ukiwa na shida unatafuta sehemu yoyote ya kuponea. Lakini huyu sio wale wa tunguli na wapiga ramli. Ni ustadh anatumia quran lakini alichosema ni kwamba napaswa nisomewe na nisafishwe mwili na niweke ubani kwa mkono wangu. Nasubiri unishauri zaidi hapo mkuu