View attachment 68500
Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow.
Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?
Point nzuri sana. Risasi zinazopigwa juu zinaenda juu na speed karibu ya km1500/hr, na kwenda juu hadi itakapopoteza speed kutokana na kitu kinaitwa deceleration due to gravity. Itakapogeuka, inaanza na velocity om/s na inaongeza speed kutokana sasa na acceleration due to gravity, hadi ifikie kitu inaitwa terminal velocity.
Kesi zimeshatokea za watu kufa kwa kupigwa na risasi iliyopigwa juu na iliporudi kumwangukia mtu. Kwa hiyo ni kweli, unaweza kufa kutokana na risasi iliyopigwa kwenda juu. Ni sawa tu na ukirusha jiwe kwenda juu, litakaporudi litakujeruhi likikuangukia.
Polisi wanapaswa kupiga blanks sio risasi za moto.
Angalia Wikipedia wanavyosema;
Bullets fired into the air usually fall back at
terminal velocity, speeds much lower than those at which they leave the barrel of a firearm. Nevertheless, people can be injured, sometimes fatally when bullets discharged into the air fall back down. The higher mortality is related to the higher incidence of head wounds from falling bullets. Fatality accrues, when the firearm is discharged at an angle, thus the bullet keeps its
angular ballistic trajectory, and falls at a speed faster than at terminal velocity.
A study by the U.S.
Centers for Disease Control and Prevention (CDC) found that 80% of celebratory gunfire-related injuries are to the head, feet, and shoulders. In the U.S. Commonwealth of
Puerto Rico, about two people die and about 25 more are injured each year from celebratory gunfire on New Year's Eve, the CDC says. Between the years 1985 and 1992, doctors at the
King/Drew Medical Center in
Los Angeles, California, treated some 118 people for random falling-bullet injuries. Thirty-eight of them died.
Kuwaitis celebrating in 1991 at the end of the
Gulf War by firing weapons into the air caused 20 deaths from falling bullets.