nielimisheni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nielimisheni jamani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kalunguine, Jan 20, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  natumia laptop dell latitude d 630,ina sehem ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuweka line lakini sion alama yoyote ya kutambuliwa na computer,kama kuna mtu anajua namna inavyofanya kazi nifahamishe tafadhali
   
Loading...