ukiwa mjini usiulize kila mtu unayemuona mbele yako,
inawezekana hiyo sehem ipo mbele yako utaelekezwa vichochoroni ukaibiwe,
usimuone mzee ukamuuliza dunia imeharibika naye anaweza kukupeleka chaka,
kama sehemu sipajua the best people huwa nawauliza ni wanafunzi,