Niedit wapi pengine?

kwenye jembe na nyundo aedit aandike kisu na uma.
 
kweli Mnyika akukosea alipotumia Neno "UZAIFU"
 
Aoengezee Magamba na Vijisenti na Alshabaab!
 
Andika hapo ,pembe za ndovu ushindi ni lazima 2015
 
madawa ya kulevya mbona hujayaandika hapo?

kumbe na wewe unaijua hiyo dili ya madawa ya kulevya ila huyu jamaa atakufa vibaya huyu yaani alisema maskofu ndio wauzaji wa madawa ya kulevya!!! niwasahangaa na maaskofu nao wakaa kimya bala wangepiga hata albadili au mungu hauyo nini?
 
Uongozi.........Mpe Ridhwani na Salma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…