Nidhamu ya watangazaji wa Clouds Media

Hata kabinti ka Global Publishers huwa nako hakana heshima kwa baba watu wazima
 
Hii mada sio kwa ajili yangu, nasepa
 
I will not comment on the matter kwa sababu sikuona hicho kipindi, lakini based on the subject, hii tabia nimeshaiona kwa watangazaji kadhaa wa tv station nyingine, mfano yuko bwana mdogo Star tv anatangaza kipindi cha kipaza sauti aliwakuta wazee wamekaa sehemu akaanza kuwauliza maswali bila hata kuwapa salamu inavyotakiwa, nikajisemea ingekuwa mimi ningemtimua, pia yuko bwana mdogo mwingine wa Azam kama sijakosea anaitwa Ahmed Abdala huwa anatangaza kipindi cha michezo cha mshike mshike kila anapoanza kutanganza salamu yake ni "hujambo" , binafsi huwa inanikera sana huwa najiuliza huyu mtoto anadhani audience yake yote ni watoto kama yeye, hata kama ni ujana ila nidhamu na heshima kwa waliokuzidi haitakiwi kuondoka haijalishi mazingira au status uliyonayo.
 
Salamu ni kujuliana hali tu .
Sasa shikamoo unamjuliaje mtu hali hapo..
Salamu bora ni 'habari za saa hizi mzee'

Hizo shkamoo ni utumwa tu
 
Mambo Yasiwe Mengi Sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wabongo bhanaa,sasa wewe hiyo "kheshima" ya shikamoo ndo unai husudu sana eeenh!!
 

Kuna watu hawapendi kusalimiwa, na wakati mwingine hao ndio huwafanya watu waache kuwasalimia, atakuwa kajiweka easy, like me, sihusudu shikamoo kabisa, naweza amka nikamwambia mtoto wangu "OYA DOGO VIPI, akanambia poa" Fresh na maisha yanasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…