MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
- Thread starter
- #21
Hapo Kwenye Kuzima TV Wakati Wa Kula Msosi Napinga!
Ukizima TV Wakati Wa Kula, Utaiangalia Wakati Gani Tena?,
Mojawapo ya adabu ya chakula ni concentrate katika sahani au upande unaokula !
Muda wa kuangalia TV wakati wa kula imezoeleka sana kwenye sehemu za BAR , kantini , hotels ,n.k lakini nidhamu ya msosi inakuwa hakuna. Ni mazoea tu