realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,602
- 19,482
Vijana wengi sasa hivi wamekosa nidhamu hata kwa wazazi wao ukiachilia mbali kazini.
Hawapendi kuelekezwa kila kitu wanajua basi ni shida.
Unaweza kumlaumu mzazi au mlezi kuwa hakupendi lakini kumbe ni kukosa nidhamu tu.
Na mzazi akikunyamazia ujue umeisha.
Tubadilike ili tufanikiwe Kazini, nyumbani na hata kwenye biashara.