Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,675
That's might be the reason.Walipata tuzo hiyo kwa kuonyesha andiko la uhakika katika kutengeneza avitambulisho. Lakini wakati wa implementation ya andiko lao wakavurunda.
Hizi nishani zina politics ndani yake. Ukiwakirimu organisers unapat kiulaini mfano Mzee wa Msogahahahahaha mimi nilishangaa sana nilipoona vitambulisho vya watu havina sahihi zao,halafu watu miaka mitatu sasa hatujapata vitambulishi,na hapo ni mkoa wa Dar tu,maana mikoa mingine bado NIDA ni sacoss ya watu flani flani
Walipata tuzo hiyo kwa kuonyesha andiko la uhakika katika kutengeneza avitambulisho. Lakini wakati wa implementation ya andiko lao wakavurunda.
Kipindi cha mzee wa Msoga hizi award za kajamba nani zilikuwa nyingi kama mchanga. Hivi kweli utatoa award kwa kitambulisho kisicho hata na saini ya mtumiaji?Hizi nishani zina politics ndani yake. Ukiwakirimu organisers unapat kiulaini mfano Mzee wa Msoga
Chunguza vizuri ulichoandika!That's might be the reason.
Mimi ndo kwanza nimejua juzi kua kuna vitambulisho vya uraia, mi nilikua najua kichinjio ndo cha uraia. Nasikia vitambulisho vyenyewe vina expire date (Sijathibitisha coz sijawahi kuviona).hahahahaha mimi nilishangaa sana nilipoona vitambulisho vya watu havina sahihi zao,halafu watu miaka mitatu sasa hatujapata vitambulishi,na hapo ni mkoa wa Dar tu,maana mikoa mingine bado NIDA ni sacoss ya watu flani flani
vichekesho againi NIDA hii ya Tanzania?
No kwamba paper work ilikuwa nzuri kuliko uhalisiaChunguza vizuri ulichoandika!
Na mimi nakupa tuzo kwa uandishi bora na matumizi ya inglishi!That's might be the reason.