NIDA wanavyosumbua, Serikali Itaje bei tulipe ili tuwe tunapata ID kwa wakati

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,965
28,457
Wakuu,
NIDA wanasumbua mno na kuna watu wengi mambo yao yamelala kisa hawa jamaa. Nadhani sasa ipangwe bei ili kila mwananchi alipie na kitoke kwa wakati maana wakati mwingine ni ngumu kupata kwa sababu tunavipata bure.

Kuna mikoa mingi tu watu hawajapata vitambulisho kwa mfano Kigoma, Kagera, Katavi na mingine mingi. Vitambulisho ni tatizo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom