Kwa nini hutumii ? Wewe jambazi?Mimi niliweka namba ya simu nyingine ambayo Sasa sizitumii sijui watanipa taarifa kupitia wapi Ili nifuate kitambulisho
Kwa nini hutumii ? Wewe jambazi?Mimi niliweka namba ya simu nyingine ambayo Sasa sizitumii sijui watanipa taarifa kupitia wapi Ili nifuate kitambulisho
Vitambulisho vyote vya NIDA vilipelekwa kwenye mtaa mtu aliandika anaishi alipojaza fomu za NIDASasa itakulazimu uanze zoezi upya, kitu ambacho kitakugharimu. Ulitakiwa ukaifuate huko Temeke.
Kwanza makadi yenyewe yamechakaa kishenzi jina limefutika nusu.😎Vitambulisho vyote vya NIDA vilipelekwa kwenye mtaa mtu aliandika anaishi alipojaza fomu za NIDA
Mobox na Mabox yalipelekwa mtu alipodai kuwa anaishi
Wengine walidanganya walipopeleka fomu NIDA wakidhani ujanja
NIDA wakaamua kupeleka vitambulisho mtu alikosema ndiko mtaa atokea ili achukulie huko.
Halafu wakazi wanaambiwa na wajumbe wa nyumba kumi na wa serikali ya mtaa kuwa njooni mchukue Vitambulisho wakazi.Sasa asiye mkazi hiyo taarifa ilimpita kushoto na ujanja wake
We kopo kweli ukiwa unajiandikisha Ile namba ya simu unayoweka inakua na usajili wa majina yakoKwa nini hutumii ? Wewe jambazi?
Mkuu mi mwenyewe mdogo angu ni mhanga wa hiliKwahiyo baada ya miaka 13, ndo uone kuwa ni lazima uwe na kipande?
Na mnaona no busara kuteketeza hivyo vipande na namba kabisa?
Mwaka fulani, mlitumia pesa za umma kutengeneza mitaa, address na postcode, mlipokuwa mnaenda kutafuta watu wa kupiga kura SM, mligonga nyumba kwa nyumba, nini mnashidwa kupeleka hivyo vipande kwa wale WAJUMBE wavisambaze?
Wew unaona ni sahih kufuta taarifa za mtu kisa hajafuata kitambulisho chake? Serikali yetu haijui bargaining kbs , kwann wasingeweka penlty ya malipo kwa kadri muda ukisonga mbeleSasa itakulazimu uanze zoezi upya, kitu ambacho kitakugharimu. Ulitakiwa ukaifuate huko Temeke.
Siku ccmu wakitoka madarakani , hiz akili za wanaccmu zitakuja kutufanya tuwe tunacheka kwel kwelWewe mpuuzi kama kitambulisho hakina maana asiende kuchukua. Halazimishwi.