NIDA: Namba za Utambulisho (NIN) Milioni 6 bado hazijatumika kusajili laini za simu

Ww ni mtz wakuzaliwa kweli

Jifunze kuheshimu, hata mada hujaielewa

Hatujadili Uraia wangu.

Jikite kwenye mada.

Ungekuwa mstarabu, Huyu mtoa hoja very humbled amekuuliza kiungwana jibu lake la kwanza kwako

Ulichomjibu ni aibu kwako👇

Toka secondary umesoma kutengeneza title za habar.... Badili weka title nzur... Mwisho mimi sio dogo lako tafadhali.

Unamatatizo?
 
Kiswahili ni lugha yetu
!, ?, nk zinatumikaje, sioni umuhimu wa hizi alama endapo zikatumika kisha zikahojiwa?

Ngoja nihamie mada zingine.... naona kiswahili sikielewi.
 
Naona moderators wamenisaidia kuweka tittle ambayo itakuwa nyepesi kwa wale wenye tatizo la network mbovu
 
Jifunze kuheshimu, hata mada hujaielewa

Hatujadili Uraia wangu.

Jikite kwenye mada.

Ungekuwa mstarabu, Huyu mtoa hoja very humbled amekuuliza kiungwana jibu lake la kwanza kwako

Ulichomjibu ni aibu kwako👇

Unamatatizo?
Hiyo post ina tatizo gani? Je nimetukana mtu? Ulivyo mnafiki,hujaleta hiyo post yake ambayo imenipelekea mm kumjibu hivyo...Leta hiyo post... Ukishindwa kuileta naomba tuishie hapahapa ili tusije fikishana mbali kwa unafiki wako.
 
Huelewewi maana ya kiulizo rudi darasani
 
Back
Top Bottom