Niconnect vipi TV kwenye hometheater?

Niconnect vipi TV kwenye hometheater?

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
151
Tv yangu ina matundu ya Componet/AV in tu.sasa nataka sauti ya kwenye tv niiconnect kwenye hometheater lkn sasa sioni sehemu yenye audio out kwenye tv..na sehemu moja iliyobakia ambalo ni tundu limeandikwa service...je nifanyaje ili niweze kusikia sautu ya kwenye tv kwenye hometheater???
 
kaka siku hizi hatuna analog hivyo naamini hio tv hicho unachoangalia kinatoka sehemu fulani.

mfano unaangalia movie toka dvd player basi connect home theater na hio dvd player.

kama ni decoder/receiver connect hio na hometheater.
 
Chief nimekuelewa for my case ni hivi natumia dstv na dstv ina ports tatu tu ambazo naconnect kwenye tv.hamna tena port iliyobaki empty labda kama unielezee zaidi samahani mkuu
 
Ni hivi katika hizo tatu zinazotoka kwenye dstv, moja ya video peleka kwa tv na mbili za audio peleka kwenye hometheatre mara nyingi ni red na white, hapo utakua umemaliza shida yako.
 
Ahsante sana mkuu nimefanikiwa MUNGU akubariki sana.na swali lingine samahani je kama nikichomeka flash kwenye tv na nataka nisikie kwenye theater hapo inakuaje??
 
Kanunue port zingine alafu utaunga kutoka tundu la out, la audio kwenye TV na kwenye hometheatre utanga kwenye tundu la in la audio, ambayo yenyewe alama yake rangi nyekundu na nyeupe.
 
Mkuu samahani kama sijakuelewa lkn tv hii haina Av out its only in..kama siyo naomba unifafanulie zaidi
 
Ahsante sana mkuu nimefanikiwa MUNGU akubariki sana.na swali lingine samahani je kama nikichomeka flash kwenye tv na nataka nisikie kwenye theater hapo inakuaje??

Kwa kuwa TV yako haina audio out, hiyo flash yako comeka kwenye usb port ya hiyo receiver ya DSTV.
 
Back
Top Bottom