Nicole ni nzuri jameni loh!

Haya tumekubali, nambiye nimefaidi nini hapo?? Nadhani hata saa hii tunalumbana humu jf kuna jitu sura mbaya lipo juu yake linampumulia. Wewe na miye tumefaidi nini?? Haikosi nyiye ndo huwa mnaridhika na kuangalia tu picha za x mnalala fofofoooo. Uzuri ni wake yeye na huyo wake, kwangu namwona hastahili hata kumfuta mke wangu
 
Hawa ndo wale ladies and gentlemen kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…