Nicolas Sarkozy top finishers in French presidential vote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nicolas Sarkozy top finishers in French presidential vote

Discussion in 'International Forum' started by Hofstede, Apr 22, 2012.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Socialist Francois Hollande, President Nicolas Sarkozy top finishers in French presidential vote, exit polls say. -CNN

  It looks like he is going to win it. Chaguzi za wenzetu mpaka zinatia raha vituo vinafungwa matokeo yanaanza kumiminika mambo ya geographical position hutayasikia. I wish Tz tungefika huko siku moja.

  1. Francois Hollande - 28%
  2. Nicolas Sarkozy - 26%
  3. Marine Le Pen - 20%
  4. Jean-Luc Melenchon - 11%
  5. Francois Bayrou - 9%

  Turn out 80% - This means Sarkozy is in trouble.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,408
  Likes Received: 81,440
  Trophy Points: 280
  Mkuu Hofstede, hili hata kwetu linawezekana. Si unakumbuka ahadi ya Tume ya uchaguzi kwamba matokeo ya Urais katika uchaguzi wa 2010 yangetangazwa baada ya siku moja tu, lakini baada ya kuona Kikwete kashindwa vibaya sana na pia magamba kupoteza viti vingi katika majimbo mengi nchini ikabidi tume kwa kushirikiana na vyombo vya dola iingie kazini ili kuchakachua matokeo na kuhakikisha Kikwete anarudi Ikulu. Hili la kuchakachua matokeo likasababisha matokeo yachelewe kwa wiki nzima au zaidi kama sikosei na Tume haikutoa sababu zozote za msingi kwanini walishindwa kutimiza ahadi yao ya kutangaza matokeo ya kura za Urais ndani ya siku moja baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa

   
 3. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Acha Sarkozy apigwe chini, ningefurahi sana kama hii round ndo ingekuwa ya mwisho kama kwetu. Huyu baba yake mhamiaji lakini anasakama wahamiaji wengine na kujifanya yeye mfaransa zaidi. Na akipigwa chini nitasubiria kushangilia kupigwa chini kwa Obama.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  BAK Agree with you 100%. Jamaa kama wangepata straight victory kama walivyokuwa wanatarajia tungeshuhudia fast track ya kutangaza matokeo.

  Nafikiri sasa hivi TISS itakuwa kazini kufanya research ya wizi wa 2015. Ila kama TISS is for pro bono, wanatakiwa kufanya matendo ya kulinda usalama wa Taifa siyo ya kuliangamiza Taifa na hili la uchakachuaji ni moja kati ya mambo ambayo yatalipeleka Taifa kuzimu, kama cool heads zisipo-prevail. Moja kati ya mambo ya kudumisha amani ni kuhakikisha kuwa uchaguzi siyo tu unakuwa huru na haki bali unaonekana kuwa huru na haki.

  Sheria za uchaguzi za kipuuzi ziondolewe kabla ya 2015, CCM ikubali kuwa chama cha upinzani. I hope JK atapata sifa kubwa sana na kukumbukwa milele atakapo hakikisha anawaachia watanzania nchi ya kidemokrasia inayopata vionozi wake kwa kura siyo kwa mitutu ya bunduki na hila. CCM na vyombo vya dola hawana haja ya kuogopa hatma yao kwani sisi wote ni watanzania na vyama vya siasa ni njia tu ya kutufanya tuwe watanzania.
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi wa marudio Sarkozy (26%) atashinda japo bado Francois Hollande (28%) ambaye ana most of the votes anaweza kutoka na surprise to the world. Ila kwa sarkozy kupata percentage hiyo sidhani kama May 6 atapona kwa kweli. It looks watu wamemchoka.
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Jamani tusijilinganishe na wenzetu wajamani hizi chaguzi ziko well computerized, unagonga tu kitu kinaitika ya kwetu ni too analog sifikiri kama utawezi kwa siku moja. Msimamizi atataka kutuma matokeo anakuta simu haina charge na fax haifanyi kazi wakati tanesco umeme umekata.
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Sarkozy ana watesa wahamiaji, wakati wahamiaji pia ni wengi na wakati huo huo na yeye sio mfaransa halisi kabisa kabisa. Jamaa ngoja wamtupe chini ndo atie akili, alifikiri kumfanyizia yule jamaa aliyekuwa imf atapeta kirahisi.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  na technique walizotumia ni kuwa vyama vidogo kama ppt maendeleo kama kilikuwa na % 10 kinapewa 0.01% zingine zote wanazinywa ...
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ghana chaguzi zao ni kama zetu ila wapo fast and accurate kwenye matokeo. Ghana huwa wanajua mshindi mara baada ya vituo kufungwa na kura kuhesabiwa within 30 minutes. Kila jimbo kila kituo wagombea huwa na matokeo toka kwa mawakala na kuyajumlisha in advance na kujua, na Tume yao haithubutu kubadili hata kura moja. I hope katiba mpya itaangalia suala la Tume huru yenye budget yake na wafanyakazi full time ambao si appointees wa rais ambaye nae ni candidate in one point of a time.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,408
  Likes Received: 81,440
  Trophy Points: 280
  Yes, he is in big trouble.
   
 11. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Ghana Rais mmoja alichofanya alikusanya wanasiasa wote, mawaziri wote akajifanya kama anataka mkutano nao harafu akawalima risasi wote, kikaja kizazi kipya. Ndiyo siri ya mafanikio yao. Ni sawa mtu mmoja awasubiri jamaa wa chama tawala na upinzani pale mjengoni awarushia ka-skadi.

  Ghana inafanya vizuri ktk nyanja karibu zote, wapo juu kidogo. Hata hivyo nakubaliana na wewe.
   
 12. m

  masopakyindi1 Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulaya ni ulaya tu kaka wametuzidi kila kitu, huku kwetu uchawi na uwizi ndo vinaturudisha nyuma hasa hili chama la majambazi!!!!!


   
 13. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hahaha ila kumbuka kuwa Rais huyo 'Jerry Rawlings' - Ambaye aliwahi kumtwanga ngumi makamu wake, nae wakati wa kukaribia kuondoka alikuwa na wasiwasi kuhusu hatma yake nje ya madaraka na hivyo kuwa tempted ku-temper na uchaguzi, ila alipokubari mtu wake kushindwa uchaguzi na yeye kujikuta hana matatizo utamaduni ule umekuwa mzuri kwao.

  Mimi kwa mtazamo wangu Katiba mpya iweke wazi kuwa baada ya uchaguzi wa 2015 tunaanza upya, yaani kuwe na national reconciliation ili kuwahakikishia watu fulani kuwa hawatapata matatizo kama chama ambacho si CCM kitashinda. Nina hakika tukiwa na mtazamo huo sidhani kama Mwinyi au Mkapa watamwambia JK kuwa asiwapatie nchi washindi halali wa kura. Ila mentality ya watu kama Mkapa sidhani kama itaisha maana yeye hata uchaguzi wa Arumeru alitaka wasiwatangaze washindi halali na kuwa tayari kuona roho za watu innocent zinapotea kwa kuwa tu CCM iwe imeshinda. Mwaka 2010 alikuwa ni kinara mkuu wa kukataa katakata CUF kutangazwa washindi Zanzibar. Huenda Rawlings action ziliondoa watu wenye mtazamo kama huu, wahafidhina.

  Kinachofanya watu wachakachue ni woga wa vengeance wakiwa nje ya madaraka. Wanajua kuwa hatma yao ipo mikononi mwa CCM kuendelea kuwa madarakani kwa vyovyote. Ninapenda pia kuwapa ushauri CDM na vyama vya upinzani kuacha kuwatisha sana kuwa watawaondolea kinga unless watu kama kina Mkapa wanaopanda majukwaani na kujipaka shombo wakiendelea na mchezo huo.

  I believe under free and fair election CCM will not win majority of the parliament and the presidency. Watanzania wengi walikuwa wanaogopa kuwachagua wapinzani wakihofia kutokea machafuko kama ambavyo propaganda za wakati ule zilivyokuwa. Ila kadiri siku zinavyozidi ndivyo wale waoga wanakwisha na kizazi kipya kinapojitikeza chenye uchu wa mabadiliko ya kweli.
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwa ulimwengu wa leo kusema kuwa nchi haina uwezo wa ku"computerize" shughuli yoyote ile, hiyo ni aibu isiyo na sababu.

  Sisi pamoja na kukosa uwajibikaji, bado tuna matatizo na dhana nzima ya demokrasia kwa jumla na hasa katika kutotii sheria za uchaguzi. Huwezi kusikia chama, kiwe tawala au cha upinzani, kujitangazia matokeo kabla ya Waziri wa Mambo ya Ndani hajatangaza (huku sisi kazi hiyo tumemkabidhi Mkuu wa Tume). Kulejukumu hilo amepewa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa sababu ndiye aliye na jukumu la usalama, petu jukumu la usalama analo Raisi, ni suala tu la kuwaamrisha waramba buti wake wakafanye mauaji popote.

  Hata vyombo vya habari haviruhusiwi kuuliza wapiga kura wamempigia nani kabla ya vituo kufungwa. Mara tu vituo vikishwafungwa, hesabu ya kura inaanza na wakati huo huo matokeo kutiwa katika "data base" iliyounganishwa moja kwa moja na kituo kikuu.

  Gharama za safari mbili -tatu tu za raisi zingetosha kutengeneza mtandao wa kushughulikia matokeo.
  Bado kazi tunayo.
   
 15. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mkuu mtandao unaenda na mambo mengi, kwa sasa Tanzania ilivyo bado haiwezekani. Hata Sarkozy na watu wake wanatamani sana kuiba kura lakini hawawezi kutokana na teknolojia yenyewe.

  Hawa watu wanapigia kura kwa electronic IDs zao, sio database tu, ngoma ukipiga hata kama uko Norway inajibu hapo hapo kwenye central database. Ni muono wangu tu.
   
 16. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]


  [​IMG]


  Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameshindwa na mpinzani wake Fracois Hollande wa chama cha Socialist katika raundi ya kwanza ingawa kwa tofauti ndogo kati ya 28% na 26.9% alizopata Sarkozy. Hivyo, mchuano utaendelea kwenye awamu ya pili ambapo uwezekano wa Sarkozy kuzama zaidi ni mkubwa. Kwa habari zaidiBONYEZA HAPA.
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe,
  Lakini kama wapinzani wangeweka pressure serikali itoe shahada za ki electroncs na ukipiga kura ina log directly kwenye local na central database hapo ingekuwa poa.

  Wawe na mashine kwenye vituo, kama zile machine kwenye supermarket unaponunua kitu kwa kutumia card. Hapo hata haiitaji kuwa na tume huru ya uchaguzi.
   
 18. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  kwa mujibu wa aljazira SAKOZ KASHINDA
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Muono wako una ukweli ndani yake. Kwa kuwa hizo IDs zao zimekuwa electronized na kuwa hizi nazo ziko katika kila data base muhimu nchini, hakuna uchakachuaji, hakuna kununua kadi. Sisi hata hizo IDs hatuna.

  Kuhusu wizi, Russia walitumia teknolojia na waliweka CCTV kila pahali na bado wakachakachua.

  Nahisi pamoja nakukosa hizo nyenzo, TZ bado kwa sababu mwamko wetu wa kidemokrasia na dhamira ya kisiasa viko chini.
  Roma haikujengwa siku moja - Tutafika.
   
 20. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ngoma ni May 6 katika round ya pili
   
Loading...