Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,070
- 3,705
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
In the country of the blind one eyed man is a kingHarafu anakatabia cha kujiona msomi saaana...
Yaani kila wimbo mpaka aseme sijui nimesoma.
Hivi kwanini wengi mkitaka kumkosoa mtu mnaanzaga na mazingira kama "japo kuwa natokea Arusha lakini..,japo kuwa Mimi ni mkristo/mwislam lakini, au Mimi siyo shabiki wa Fulani lakini...nk"Japokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.
Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.
Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
ana kamasters ka development studies toka hapo udsm,sasa sijui angekua na masters ya medicine ingekuaje!Harafu anakatabia cha kujiona msomi saaana...
Yaani kila wimbo mpaka aseme sijui nimesoma.
Hajakuomba umkubali.Japokuwa na mimi natokea Arusha huwa simkubali huyu msela.
Huwa anpenda kuandika nukuu za watu maarufu ili aonekane mwerevu bila kuweka ni nani aliyeandika nukuu hiyo.
Hata hiyo nukuu iliyozua utata ilikuwa ni nukuu aliyoitoa sehemu fulani lakini hakuandika jina la mtu aliyeandika baada ya watu kumletea noma ndo akajifanya kusema sio yeye aliyeandika bali ametoa sehemu fulani.
ana kamasters ka development studies toka hapo udsm,sasa sijui angekua na masters ya medicine ingekuaje!
Jamaa mpumbavu Sana yule,na ujue mpumbavu anawafuasi katika jambo la kipumbavu soma hizi comments ,utaona, leo hata akianzisha jambo lolote,hauwezi kosa wafuasi, mkumbuke hata Nabii Tito wa Shetani, alikuwa na wafuasi, kwa hata hili na Niki wa pili utakuwa na wafuasi wake.Leo nabii Tito ametoka na kukiri yakwamba alikuwa Chizi, sasa imagine, hivyo hata hapa usoshangae watu wakimuunga mkono Nick2ana kamasters ka development studies toka hapo udsm,sasa sijui angekua na masters ya medicine ingekuaje!
Ndio maana namkosa huyu mpumbavu Kama wwHajakuomba umkubali.
Kawakubali wazazi wako.
Jamaa anajiona ana akili kubwaz ...na watu wanamuaminisha hivyo....kumbe bonge la kiazi...I think waelewa wamenielewaHapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.