Nichukue uamuzi gani?

Huyo bint unamuonea Huruma sana lakini kwa Maelezo yako anaonekana si muwazi na kuna kitu anaficha. Mahusiano hayahusiani na tukio la mwaka 47. Huyo sio nakushauri tafuta mwingine atakupotezea muda na hizo kalenda. Chunguza vizuri kama ni kweli msaidie au mshauri amwachie Mungu atahukum. Unapigwa fix nahisi jombaa. Kuwa makini.....
 
Huyo ni MTU mzima sasa kama ni miaka 24. Sasa apone nini? Kama anakupenda na wewe unampenda kwann hayo yamuumize mpaka sasa!? Usiishi naye bila ndoa na kama anakupiga kalenda ujue kuna kitu kimejificha. Chunguza kwa makini kwanza na achana watu utaharibu maisha yako. Huo ni mtihani unakujia kupitia huyo Dada. Kuwa makini utakuja kuniambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…