Unakulaje mboga yenye kutu za majani. Wanunuzi huwa wanazikimbia.Pole sana,watu wanauzaga hata zikiwa hvyo..ngoja wataalam waje
Ila ukiosha zinatokaUnakulaje mboga yenye kutu za majani. Wanunuzi huwa wanazikimbia.
Hao wadudu weupe wanatoka ila ile kutu huwa haitoki.Ila ukiosha zinatoka
Nipo tanga ndio nimeanza kulima kwa hiyo mbegu (amaranthus dubious) hajawahi limwa ilo eneo ndio nimelianza mm.. Mbolea kuku mbuzi na N'gombe nilitumia zote...Upo mkoa gani?
Mbolea ipi unatumia ya kuku?
Umejaribu kubadili mbegu?
Hapo unapolima pamewahi kulimwa hilo zao? Je alipata changamoto kama yako?
Tumia mbolea ya kuku. Nenda duka la dawa wakushauri dawa gani nzuri. Kwa sababu hapakuwahi limwa mchicha so badae utaacha kutumia dawa pakitengamaa.Nipo tanga ndio nimeanza kulima kwa hiyo mbegu (amaranthus dubious) hajawahi limwa ilo eneo ndio nimelianza mm.. Mbolea kuku mbuzi na N'gombe nilitumia zote...
Jaribu kuangalia maji unayotumia hayana asili ya chumvi. Mm iliwahi nitokea ila maji ndio ilikua sababuAsante.. Vp kuhusu huo ugonjwa
Haya maji yanayo asili ya chumvi kwa sababu ni ya kisima lakini yametokana hasa na mvua... Sijajua kiasi cha chumvi na sasa hivi hadi mchicha wa weak moja unaonyesha haya madhara naona kabisa.. Sipati kitu... ww ulichukua hatua gani baada ya kugungua hilo tatizo mkuuJaribu kuangalia maji unayotumia hayana asili ya chumvi. Mm iliwahi nitokea ila maji ndio ilikua sababu
Asante Sana. Je, ulishawahi patwa na hiyo changamoto kwako ww?Kama hujalima eneo kubwa fanya hivi tafuta siku moja ya wiki ambayo utatwanga muarobaini na mbegu zake chuja maji yake kiasi cha kiganja kimoja kwa tuta moja halafu changanya halafu changanya na majivu kama kiganja kimoja nyunyizia wakati wa jioni. Tumia hii mara moja kwa wiki kabla ugonjwa haujaanza. Mimi huwa siweki dawa na kwa njia hiyo nimeondoa wadudu wengi tafuta maua yanaitwa marigold panda kuzunguka matuta yako wadudu hawapendi harufu yake watakimbia pia unaweza kutafuta dawa yenye mkojo wa sungura fwata maelekezo yake hiyo ni kiboko. Dawa nyingine ni alcohol 30% and water 70 ila bado ni ngumu kutoa maana itabdi ugeuze majani ndio upige