Nichukue hatua gani, nimekosa interview Jeshi la Polisi

Nichukue hatua gani, nimekosa interview Jeshi la Polisi

Menapitatu

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
195
Reaction score
86
Wadau wa JF nifanye nini baada ya ku miss tarehe ya interview jeshi la polisi kwa wenye taaluma, Tangazo la kuitwa nimeliona tarehe 05 Sept 2015 wakati wao deadline Yao tarehe 04 Sept 2015 msaada tafadhali wadau 0753467001
 
Huna shida na kazi wacha wahitaji waendelee

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
pole sana mkuu, nadhani ungewasiliana na makao makuu haraka iwezekanavyo halafu wao watakujuza nini cha kufanya
 
Wadau wa JF nifanye nini baada ya ku miss tarehe ya interview jeshi la polisi kwa wenye taaluma, Tangazo la kuitwa nimeliona tarehe 05 Sept 2015 wakati wao deadline Yao tarehe 04 Sept 2015 msaada tafadhali wadau 0753467001

wewe si ulikuwa kwenye usaili wa utumishi? au sio wewe
 
Ama kweli upele humuota asiye na kucha watu tumekosa nafasi kila siku asubuhi kafurushi ka MB ka bure kavoda kalikuwa kanaishia website ya polisi lakini chali ww umepata nafas umeshindwa kuitumia AMKA NDUGU.
 
Usijisumbue ndugu utaratibu wa.Jeshi lolote nchini Panctuality ni kigezo muhimu sana..acha kuchelewa siku nzima yani hata kama ungechelewa Lisaa tu..usingefanya usahili..USIJISUMBUE
 
Police gani wanataka watu wazembe kama wewe?
 
Wadau wa JF nifanye nini baada ya ku miss tarehe ya interview jeshi la polisi kwa wenye taaluma, Tangazo la kuitwa nimeliona tarehe 05 Sept 2015 wakati wao deadline Yao tarehe 04 Sept 2015 msaada tafadhali wadau 0753467001
kama ww ni mhehe chukua hatua za kijadi tu, hakuna namna
 
nenda na ambulance hadi makao makuu...ukiigiza upo hoi bin taaban,watakusikiliza vizur tu....
 
Back
Top Bottom