Nichomoe betry ?

Ukiona mwanaume anatoa sana hela kwa demu... Ana tatizo.

Usichomoe. Huyo jamaa usikute hanith. Utamuharibia dem tu.

Sanasana na wewe omba mzigo.

Kula majiran so mpango, wanatibuaga hawa
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafutwa kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?

Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??

Aiseee [emoji23][emoji23]
 
chomoa tu mwanangu
 
Mkuu Champagnee,nakusalimu ....................alafu.................................fikiria pia kama huyu jirani yako angekuwa ni dada au ndugu yako,je ungechomoa betri.........................
Betri............................

Mwenzetu

Ndomana nmekausha nafikiria, sema nitamchana ukwel nitamuuliza hks hako ka sharobaro kam atakataa ntamwambia aache kama anaakil ataacha
 
Mkuu usifanye kuchomoa ,tafuta time ongea na jamaa mwambie tuu kwamba me nahisi mtu wako simuelewi maana naona sahivi kabadirika sana so mkuu usijiaminishe kwamba kuna mke hapa ,mwambie kuna mambo yanaendelea siku tukionana tutaongea vizuri

Nakumbushia maana unaweza chomoa betri kwa haraka mkashindwa fanya biashara mliyo itaji kufanya pamoja. Kikubwa tuu mwambie kama vipi aanze kutumia condom ,then siku ukiona jamaa ameanza kukupa story za videmu vyake au mwanamke mwingine bariki sasa kwa kuchomoa betri (video)
 
Kausha mwana....!!!!
 

Mkuu umenena, ila jamaa sidhan sanaa
 
Huyo jamaa mbona anatoa pesa kirahis kwako,jiangalie sana kuna dalili za jamaa kutaka kuwa na madem wawili kwenye nyumba moja aisee.
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafutwa kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?

Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??
[emoji23][emoji23][emoji23]achomoe tu au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…