johnsonmgaya JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 2,818 Reaction score 3,731 Mar 29, 2017 #741 Hivi hii siku ipo kwenye kalenda?
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #742 Mndali ndanyelakakomu said: Mi natumia kachasa tu Click to expand... Siijui hiyo mkuu
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #743 Banaange said: Siijui hiyo mkuu Click to expand... Hii IPO huku kwetu ipo kama kiroba kilicho pigwa marufuku
Banaange said: Siijui hiyo mkuu Click to expand... Hii IPO huku kwetu ipo kama kiroba kilicho pigwa marufuku
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #744 Mndali ndanyelakakomu said: Mi natumia kachasa tu Click to expand... Ni soft drink,likyua,whiskey,spirity,beer,au nini hiyo mkuu
Mndali ndanyelakakomu said: Mi natumia kachasa tu Click to expand... Ni soft drink,likyua,whiskey,spirity,beer,au nini hiyo mkuu
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #745 Banaange said: Ni soft drink,likyua,whiskey,spirity,beer,au nini hiyo mkuu Click to expand... Mkuu hii kwa kiswahili munaita gongo
Banaange said: Ni soft drink,likyua,whiskey,spirity,beer,au nini hiyo mkuu Click to expand... Mkuu hii kwa kiswahili munaita gongo
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 29, 2017 #746 Behaviourist said: ......na kweli hali yangu si nzuri sana! Click to expand... Tafuta demu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #747 Mndali ndanyelakakomu said: Mkuu hii kwa kiswahili munaita gongo Click to expand... kunywa pipa zima nakuja kulipa.
Mndali ndanyelakakomu said: Mkuu hii kwa kiswahili munaita gongo Click to expand... kunywa pipa zima nakuja kulipa.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #748 Banaange said: kunywa pipa zima nakuja kulipa. Click to expand... Hii huwa unarusiwa kunywa nusu lita ukizidisha ya nakukuta yanayo wakuta watu wa huko moshi
Banaange said: kunywa pipa zima nakuja kulipa. Click to expand... Hii huwa unarusiwa kunywa nusu lita ukizidisha ya nakukuta yanayo wakuta watu wa huko moshi
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #749 husna muba said: Sisi tunabanjuana kweli sijui kwa wengine Click to expand... Daby come this way jiran
husna muba said: Sisi tunabanjuana kweli sijui kwa wengine Click to expand... Daby come this way jiran
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #750 Mndali ndanyelakakomu said: Hii huwa unarusiwa kunywa nusu lita ukizidisha ya nakukuta yanayo wakuta watu wa huko moshi Click to expand... unaanza kuichokoza rombo yetu e we ngoja waje.hakuna kilichoharibika we kunywa tu naja lipa usija
Mndali ndanyelakakomu said: Hii huwa unarusiwa kunywa nusu lita ukizidisha ya nakukuta yanayo wakuta watu wa huko moshi Click to expand... unaanza kuichokoza rombo yetu e we ngoja waje.hakuna kilichoharibika we kunywa tu naja lipa usija
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #751 Banaange said: unaanza kuichokoza rombo yetu e we ngoja waje.hakuna kilichoharibika we kunywa tu naja lipa usija Click to expand... Sawa unajua bei yake
Banaange said: unaanza kuichokoza rombo yetu e we ngoja waje.hakuna kilichoharibika we kunywa tu naja lipa usija Click to expand... Sawa unajua bei yake
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #752 Mndali ndanyelakakomu said: Sawa unajua bei yake Click to expand... Sijui ila nahis itakuwa buku maana no tbs lebo
Mndali ndanyelakakomu said: Sawa unajua bei yake Click to expand... Sijui ila nahis itakuwa buku maana no tbs lebo
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #753 Banaange said: Sijui ila nahis itakuwa buku maana no tbs lebo Click to expand... Hii inauzwa buku jero
Banaange said: Sijui ila nahis itakuwa buku maana no tbs lebo Click to expand... Hii inauzwa buku jero
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #754 Mndali ndanyelakakomu said: Hii inauzwa buku jero Click to expand... Sawa tu kunywa nitalipa.usije ukatambaa maan sina nguvu za kukubeba
Mndali ndanyelakakomu said: Hii inauzwa buku jero Click to expand... Sawa tu kunywa nitalipa.usije ukatambaa maan sina nguvu za kukubeba
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #755 Banaange said: Sawa tu kunywa nitalipa.usije ukatambaa maan sina nguvu za kukubeba Click to expand... Hapa nimebeba kama Lita tano naenda nayo shambani nikifika shambani ndo nitaonja kidogo
Banaange said: Sawa tu kunywa nitalipa.usije ukatambaa maan sina nguvu za kukubeba Click to expand... Hapa nimebeba kama Lita tano naenda nayo shambani nikifika shambani ndo nitaonja kidogo
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Mar 29, 2017 #756 Mndali ndanyelakakomu said: Hapa nimebeba kama Lita tano naenda nayo shambani nikifika shambani ndo nitaonja kidogo Click to expand... tena nimepta picha jinsi utakavyokuwa umeibeba.umeining'iniza kwenye mpini wa jembe then jembe begani.ukimaliza kuinywa yote dumbukia ziwan
Mndali ndanyelakakomu said: Hapa nimebeba kama Lita tano naenda nayo shambani nikifika shambani ndo nitaonja kidogo Click to expand... tena nimepta picha jinsi utakavyokuwa umeibeba.umeining'iniza kwenye mpini wa jembe then jembe begani.ukimaliza kuinywa yote dumbukia ziwan
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #757 Banaange said: tena nimepta picha jinsi utakavyokuwa umeibeba.umeining'iniza kwenye mpini wa jembe then jembe begani.ukimaliza kuinywa yote dumbukia ziwan Click to expand... hapo umekosea kidogo jembe huwa linabaki shambani hapa nimebeba redio yanagu moja matata na hiyo kachasa lita tano na simu yangu ya urithi
Banaange said: tena nimepta picha jinsi utakavyokuwa umeibeba.umeining'iniza kwenye mpini wa jembe then jembe begani.ukimaliza kuinywa yote dumbukia ziwan Click to expand... hapo umekosea kidogo jembe huwa linabaki shambani hapa nimebeba redio yanagu moja matata na hiyo kachasa lita tano na simu yangu ya urithi
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,092 Mar 29, 2017 #758 Azarel said: FaizaFoxy kuwa na roho ya huruma binti wa kiislam na ukumbuke tulipotoka, lainika japo kidogo Wahenga walisema unaposhikwa shikamana...why hushikamani babe? Nakuchana....! Click to expand... Nouma sana hii hata huyu bibi Anakuaga na maringoz kumbe
Azarel said: FaizaFoxy kuwa na roho ya huruma binti wa kiislam na ukumbuke tulipotoka, lainika japo kidogo Wahenga walisema unaposhikwa shikamana...why hushikamani babe? Nakuchana....! Click to expand... Nouma sana hii hata huyu bibi Anakuaga na maringoz kumbe
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,978 Reaction score 14,092 Mar 29, 2017 #759 Cjui nianze,nan na nimalize na nan Ngoja kwanza niingie kwa baba yake bashite Masaa ya lunch narud Nitiririke vzr Cc mondary
Cjui nianze,nan na nimalize na nan Ngoja kwanza niingie kwa baba yake bashite Masaa ya lunch narud Nitiririke vzr Cc mondary
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 29, 2017 #760 usser said: Cjui nianze,nan na nimalize na nan Ngoja kwanza niingie kwa baba yake bashite Masaa ya lunch narud Nitiririke vzr Click to expand... Jichane kwanza wewe ndo ufuate wengine
usser said: Cjui nianze,nan na nimalize na nan Ngoja kwanza niingie kwa baba yake bashite Masaa ya lunch narud Nitiririke vzr Click to expand... Jichane kwanza wewe ndo ufuate wengine