Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,033
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Beba kitu hii Tom Ford black orchid
Wewe mkali mkuu majibu ya kuchagua unapendekeza ya kwako badala ya kuchagua yaliyomoHow about Caron Poivre...?
Kati ya hizo creed siijui harufu take!!!Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Wewe mkali mkuu majibu ya kuchagua unapendekeza ya kwako badala ya kuchagua yaliyomo
Kati ya hizo creed siijui harufu take!!!
ila Kwa hizo zingine TOM FORD is the best....... Napenda sana mkaka awe ananukia hivyo
Kama una shida ya kwapa basi tumia limao/ndimu. Ni buku tu achana na mbwembwe za mapafyumu ya bei ghali...Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Naijua Tom ford nilishaitumia, ni nzuri sana. Harufu yake imepoa.Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Huu mzigo ni mwisho wa matatizocreed aventus,kama ukifanikiwa kuletewa hiyo utatupa mrejesho hapa.View attachment 967306
One MillionKuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid
Asanteni sana kwa ushirikiano wenu