Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

Umemaliza👍
 

Yaani umekosa kitu cha kupost hadi unakaa chini kujadilia mshahara wa dada wa watu?
Unajua hiyo ni sawa na kuingilia maisha binafsi ya mtu?
 
ngoja kwanza..maana nataka nilale. mnasema posho yake ni Fifty tuu.. basi nitamtafta..!
 
Labda route ndefu za dar to iringa ,2 songea kdg zina maokoto ila chuga nauli 30000 lazima wajiongeze njiani ila official posho yake kila safari maximum 50000 si ndio
Mara siku 30 anazokuwa barabarani ni ngapi hapo? Tena hiyo ni net maana haina cha makato wala nini... Bado hapo msosi ni free plus mizigo nk...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…