Mkuu huyu dogo sana hawez kuwa na mtoto wa kuingia jf amemaliza chuo 2019 na ajira kapata 2021 mama alivo ingia madarakan amepagwa huko LindiSahihi kabisa, kukaa kimya inakuepisha na mengi hususan kutukanana na watoto wako humu
Time will tell,,,Kamekuwa maarufu basi mabazazi watakapiga mimba sasa hivi
Umefel broWabongo wengi tuna roho mbaya sana.
Hadi kabinti tunakaonea wivu kwa kazi yake ya ukondakta na kucheza na social media.
Huyo demu mjanja sana.. zama hizi ukicheza na social media vizuri unatajirika.
Kuna ajira mpya zama hizi inaitwa Social media influencer.. ina kipato kikubwa na haina jasho. Huyo demu social media itampa hela sana akiendelea kwa spidi hiyo.
Kina mwijaku sio wajinga kujitoa akili
Kina Hamisa Mobetto sio wajinga kujibrand kihuni.
Kinq kajala na mwanae sio wajinga
Mange kimambi sio mjinga mjinga.
Piere liquid alijibrand kwa ulevi tu. Akatrend na akapata ajira gsm anafanya kazi now. Bila social media gsm angemuonea wapi piere
Ivi mshafanya mitihan ya sapu?
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzieAnasema anatumia laki kila wiki kunyoa
Na suti zake anashona Kwa gharama hadi Laki tano, na anazo kama kumi hivi kabatini.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Si tunazidi kumpaisha mpka jfMwacheni dada wa watu bana. Maishani kuna mengi sana ya kufanya, mda wa kumuandama na kumchunguza mtu watu wanapata wapi?
Itakuwa kaongeza kdg me nakadirikia nywele 25000Anasema anatumia laki kila wiki kunyoa
Na suti zake anashona Kwa gharama hadi Laki tano, na anazo kama kumi hivi kabatini.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anapiga matangazo now na macomedyHuyu mtoto ashatoboa.
Hutaki tuendelee kumweka kwenye peak kupitia jukwaa la great thinkers jfMweyewe keshasema Yuko comfortable na kazi yake,na anapata tips za kutosha,acheni kuumiza vichwa vyenu
Tako hana.ka passed like a shadowsAna trend vipi na tako hana.. kweli kama ipo ipo tu
Sema Nini,ukisikiliza interview yake kichwani Kuna kitu,yaani kamewazidi akili mbali sana mastaa wa bongo....ana kitu,atafika mbaliHutaki tuendelee kumweka kwenye peak kupitia jukwaa la great thinkers jf
Wabongo Wana roho mbaya sana.....ukikasikiliza kenyewe hakana shida maskini ya Mungu wala majigambo,kasema kabisa nimetoka familia ya chini, hivyo sikuweza kuendelea na shule,so inanibidi nipambaneSema dogo watu huwa wanamwandama sana facebook kisa eti hana matako makubwa, sijapenda kwa kweli. Bora hapa tunaweza kuwa tunaongea kwa kujenga.