ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,708
- 57,212
- Thread starter
-
- #21
Achana nao sankara we mkongwe me napigaga stori na wana wa kitaa na wana wa jf ...nikianzisha mada nimeipima iende me sio limbukeni wala sio mshamba muulize DR SANTOS na Extrovert hao ndo wanajua kinachoendelea kuchilimuliwa.hatari sana bia ya EagleAm just wondering MSHAMBA na LIMBUKENI ni yupi sasa
Yeah sema katakuwa kashakalishwa chini kameelekezwa ku handle ustarKamekuwa maarufu basi mabazazi watakapiga mimba sasa hivi
Sijasema wote ila walionwengi wana utindio wa ubongo wanaleta threads za kiduanziWew Skudu kwaiyo Sisi new comers malimbukeni au sio
have fun ya Nini kugombn na MTU ambye hata umjuiWe qm bahat nzur umenikuta nimekta Castle lager zangu afu member wa mwaka jana tu unizingue me member wa ktambo mpiga stori nakutia block chap me sipendi ujinga qm wewe huniwezi
Moja kKumbuka huyo ni KE a anatembea na maduka 2
Ukipewa andazi na ndege JOHN unachagua nini....nachagua andaziAchana nae mtoto wa chuo huyo me nimeaanza jf niko o level kacheki history yangu na mpaka naajiriwa niko account hii hii kwa hiyo nina mipaka nahieshimu na naijua na kuna stori naleta lengo kuchilimua hatuwezi kuwa serious muda wote si wengine tunakula bia daily mtuvumiliage tu
Nakubali sana mkuu huku ndani ni kuchagua wana kadhaa was kwenda nao sawia wengine wanakua akili fupi
Alf mbn kama wew mwenyw unaonekana haupo SawaSijasema wote ila walionwengi wana utindio wa ubongo wanaleta threads za kiduanzi
Uzuri wa cutting style ambayo ni simple unaiweza kuimake kwa local barber sema sasa yeye anakichwa kizuri sio kama machogo ya mademu zetu uswaziAnatrend kwaajili ya nini
Acha mdomo huo kama demu tulia weweWatu mnakosa kazi mpaka mnajadilidili maisha ya mtu, hata akilipwa 1000 ni maisha yake hizi roho za kichawi kabisa acheni.
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Kuwa na mipaka mtoto mdogo weweAlf mbn kama wew mwenyw unaonekana haupo Sawa
Wengine watoto wadogo wana stress sasa mimi nina kazi nimejenga kijumba nishaoa,nishaacha nishapata watoto nishajua michoro ya kazi niko mwaka wa nne.. leo hii nije kubishana na watoto wa chuo wasio na directions huo si ufala yote kwa yote kila mtu apambane na stress zake tu atakayenielewa aniielewe atakayeamua kunitolea machine ya mapenzi yake anitoleeNakubali sana mkuu huku ndani ni kuchagua wana kadhaa was kwenda nao sawia wengine wanakua akili fupi
Sasa wew unawezaje kuwaambia watu wanautindio ni vizury MTU ajakukosea uanze kumdhihaki??Kuwa na mipaka mtoto mdogo wewe
Sahihi kabisa, kukaa kimya inakuepisha na mengi hususan kutukanana na watoto wako humuWengine watoto wadogo wana stress sasa mimi nina kazi nimejenga kijumba nishaoa nishapata watoto nishajua michoro leo hii nije kubishana na watoto wa chuo wasio na directions huo si ufala yote kwa yote kila mtu apambane na stress zake
πππKamekuwa maarufu basi mabazazi watakapiga mimba sasa hivi
Mtaje niliemwambia ana utindio wa ubongoSasa wew unawezaje kuwaambia watu wanautindio ni vizury MTU ajakukosea uanze kumdhihaki??
Skudu makudubela πSijasema wote ila walionwengi wana utindio wa ubongo wanaleta threads za kiduanzi