Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

Nice wa tilisho posho yake shilingi ngapi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,649
Reaction score
57,042
Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake.

Sponsors wake na madeal mengine tuzingatie posho tu ya bus me nimewaambia wana kwamba huyu atakuwa halipwi juu ya 50,000/= na konda hata ajikute balozi kiasi gani konda hanaga mshahara ni posho tu na anayezingatiwa huwa ni dereva mshahara na posho ndo analipwa nyie wadau mnasemaje kwenye bus anapatiwa shingapi je ni zaidi ya laki kukizi mahitaji yake?

images%20(6).jpg
 
makonda wa mabasi ya mikoani hawahitaji hata posho, wale abiria wa njiani na mizigo ndio inawatoa, kwa tripu ya arusha dar hueezi kosa elfu hamsini kila siku, wanapata ela sana
Labda route ndefu za dar to iringa ,2 songea kdg zina maokoto ila chuga nauli 30000 lazima wajiongeze njiani ila official posho yake kila safari maximum 50000 si ndio
 
Wabongo wengi tuna roho mbaya sana.

Hadi kabinti tunakaonea wivu kwa kazi yake ya ukondakta na kucheza na social media.

Huyo demu mjanja sana.. zama hizi ukicheza na social media vizuri unatajirika.

Kuna ajira mpya zama hizi inaitwa Social media influencer.. ina kipato kikubwa na haina jasho. Huyo demu social media itampa hela sana akiendelea kwa spidi hiyo.

Kina mwijaku sio wajinga kujitoa akili

Kina Hamisa Mobetto sio wajinga kujibrand kihuni.

Kinq kajala na mwanae sio wajinga

Mange kimambi sio mjinga mjinga.

Piere liquid alijibrand kwa ulevi tu. Akatrend na akapata ajira gsm anafanya kazi now. Bila social media gsm angemuonea wapi piere
 
Kuna huyu demu wangu wa kichaga nice wa tilisho safari anaye trend mitandaoni kazi yake ukondakta kampuni ya tilisho safari tuache endorsement zake,sponsors wake na madeal mengine tuzingatie posho tu ya bus me nimewaambia wana kwamba huyu atakuwa halipwi juu ya 50,000/=...na konda hata ajikute balozi kiasi gani konda hanaga mshahara ni posho tu na anayezingatiwa huwa ni dereva mshahara na posho ndo analipwa.nyie wadau mnasemaje kwenye bus anapatiwa shingapi je ni zaidi ya laki kukizi mahitaji yake?
View attachment 2764304
Kimsingi wanapata hela ingawa inategemea route. Mfano route ya Dar-Arusha wanapata hela pale moshi. Utakuta nusu ya abiria wanashuka pale moshi na wakishuka wanajaza abiria wa Arusha.
 
Uko sahihi mkuu ila kŵa wanawake aisee soko Lao gumu mpk uje kula timing ni ishu maana wako wengi lazima uwe na content ya maana

Yeye anacheza na content za kwenye bus tu. Watu wanazipenda ndio maana anapata audience na interviews nyingi.

Muhimu audience tu. Watu watampa matangazo ya biashara zao na ubalozi kwa kutazama fans wa content zake.

Pia sasa hivi yeye rahisi kupata ajira kwenye bus lolote. Na sitashangaa hata ndege Air Tanzania wakambeba.. maana huduma yake anaionesha mabosi wanamuona. Na wanasiasa wanavyopenda sifa usishangae kumuona Air Tanzania.

Ama utasikia mshindi wa malkia wa nguvu zawadi milioni kazaa..

Kuna mwingine alikuwa mwalimu wa nusery. Anaitwa Ticha Joy alikuwa anarekodi akiwa anafundisha watoto.. shule kibao zikampandia dau. Na azam tv wakamuajiri kama mtangazaji wa kipindi cha watoto. Na akapata mchumba mwenye hela zake akaolewa
 
Wew Skudu kwaiyo Sisi new comers malimbukeni au sio
Achana nae mtoto wa chuo huyo me nimeaanza jf niko o level kacheki history yangu na mpaka naajiriwa niko account hii hii kwa hiyo nina mipaka nahieshimu na naijua na kuna stori naleta lengo kuchilimua hatuwezi kuwa serious muda wote si wengine tunakula bia daily mtuvumiliage tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom