Hebu tueleze huyu mtu anauwezo gani, anatengeneza magari ya aina gani, anapatikana wapi, namba zake za simu za biashara n.k.k ili apate soko humuhumu. Sisi wengine tumechoka kutapeliwa na mafundi uchwara. Hapo mtakuwa mmemsaidia badala ya kumsifia tu peke yake.