Nibembelezeni jamani nimezoea

Nibembelezeni jamani nimezoea

SI RIZKI

Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Mi ni mgeni humu sina nnachokijua,naogopa kutukanwa /kushushuliwa!! Nipokeeni na mnibembeleze maana nimezoea kudekezwa! Ahsanteni
 
Ukilazimisha kubembelezwa utashushuliwa.Mimi mwenyewe ni mgeni lakini aaa watu wa nyumba hii safi sana.Ila hajulikani nani MALE nani FEMALE
 
karibu Si Rizki....hapa ni kwa walio rizki....!
 
  • Thanks
Reactions: KXY
ID yako kwanza inatia hofu kuwa imevamiwa....kukukaribisha NO..wote humu ni watu safi na ni RIZIKI....hata kama wapo wamejificha...ila wewe umekuja kwa kujitangaza...anyways labda umekuja kwa staili ya kutafuta umaarufu kwa njia rahisi...unajua kwanini hapa pamebatizwa HOME OF GREAT THINKERS?.....
 
Back
Top Bottom