Kuna FAO LA kutokuwa na ajira kuna kulipwa asilimia 33.3 kwa kipindi cha miezi 6 mfululizo au malipo ya mkupuo ya asilimia 50 kwa kile ulichokichangia, lkn malipo haya yatategemea na miezi yako ya uchangiaji.siku hizi wanalipa?? asilimia ngapi?? sio tena mpaka miaka 60
Kuna FAO LA kutokuwa na ajira kuna kulipwa asilimia 33.3 kwa kipindi cha miezi 6 mfululizo au malipo ya mkupuo ya asilimia 50 kwa kile ulichokichangia, lkn malipo haya yatategemea na miezi yako ya uchangiaji.
Kama ulichangia kuanzia miezi 18 na kuendelea na kazi uliyokuwa ukiifanya ni ya kitaaluma let say mhandisi, daktari, mhasibu, basi utakuwa ukilipwa asilimia 33.3 ya mshahara wako wa mwisho, na kama michango yako iko chini ya miezi 18 basi utapatiwa asilimia 50 kwa mkupuo kwa kile ulichokichangia.
hilo fao lilikuwepo tangu zamani au jipya,kuna tofauti gani kati ya hayo mafao m
Hili FAO LA kutokuwa na ajira linawahusu wale ambao kazi zao ni za kitaaluma kwa lugha nyingine sio vibarua, ila kwa kazi ambazo sio za kitaaluma let say kwa vibarua FAO LA kujitoa bado lipo na watu wanalipwa pesa zao.hilo fao lilikuwepo tangu zamani au jipya,kuna tofauti gani kati ya hayo mafao mawili
baada ya miezi 6 ,mzigo uliobaki v
Kama hukufanikiwa kupata ajira kwa kipindi cha miezi 18 baada ya kulipwa FAO LA kutokuwa na ajira basi utakuwa na hiyari ya kuhamisha michango yako kwenda kwenye utaratibu wa uchangiaji wa hiyari mpaka utakapofikisha 55 years.baada ya miezi 6 ,mzigo uliobaki vp
Tumia kitambulisho cha mpiga kura nacho kinakubalika.Hapo Kwenye NIDA, vipi kama una namba tu, id bado?
Ukifukuzwa au ukiacha kazi huwezi pewa chochote, utapewa pesa yako kama mkataba wa kazi ukiwa umekwisha.Pesa inatoka ukiwa umefukuzwa pekee au hata kama mkataba umeisha??
Tz hakuna option ya kutotaka kuajiriwa tenaMku naomba kujua kama umepata Ridandansi na hutaki tena kuajiriwa naweza kulipwa fedha zangu zote.
Kama namba unayo haina shida kinachotakiwa majina yako yote yafanane na zile supporting document zingine.Hapo Kwenye NIDA, vipi kama una namba tu, id bado?
Kufukuzwa kazi ni tofauti na redundancy eeee kwan si kote ni kuachishwa au?Ukifukuzwa au ukiacha kazi huwezi pewa chochote, utapewa pesa yako kama mkataba wa kazi ukiwa umekwisha.
Mku samahani ili nipate mafao yangu yote nssf wanatakiwa wanipe fomu gani kwani wao walinipa ile ya maombi kukosa ajira kuna Mtu aliniambia hii siwezi kulipwa mafao yote.Kuna FAO LA kutokuwa na ajira kuna kulipwa asilimia 33.3 kwa kipindi cha miezi 6 mfululizo au malipo ya mkupuo ya asilimia 50 kwa kile ulichokichangia, lkn malipo haya yatategemea na miezi yako ya uchangiaji.
Kama ulichangia kuanzia miezi 18 na kuendelea na kazi uliyokuwa ukiifanya ni ya kitaaluma let say mhandisi, daktari, mhasibu, basi utakuwa ukilipwa asilimia 33.3 ya mshahara wako wa mwisho, na kama michango yako iko chini ya miezi 18 basi utapatiwa asilimia 50 kwa mkupuo kwa kile ulichokichangia.
Unatakiwa upewe fomu iliyoandikwa pale juu maombi ya mkupuo maalumu, ambayo hiyo inawahusu wale wa kazi zisizo za kitaaluma let say vibarua katika viwanda, miradi ya ujenzi n.kMku samahani ili nipate mafao yangu yote nssf wanatakiwa wanipe fomu gani kwani wao walinipa ile ya maombi kukosa ajira kuna Mtu aliniambia hii siwezi kulipwa mafao yote.
Kwani mm ni wa Elimu ya secondary
Asante Mku.Unatakiwa upewe fomu iliyoandikwa pale juu maombi ya mkupuo maalumu, ambayo hiyo inawahusu wale wa kazi zisizo za kitaaluma let say vibarua katika viwanda, miradi ya ujenzi n.k
Kwa ushauri wangu ungeanza mchakato wa kufungua madai sasa hivi. Ikitokea umepata kazi hivi karibuni na ukiwa bado hujalipwa basi mchakato watausimamisha.Asante Mku.
Kama ndio hivyo ngoja nitafute kazi ktk hiyo miezi sita nisipopata nikadai changu.
Kwani Elimu yangu ni ya Secondary na kazi niliyokuwa naifanya sikusomea kwani nilijifunzia hapahapo kwani nilianza kama kibarua wa masijala mpaka nikaijua ndio wakaniajuri
Pia ujue kuwa kama ulikuwa unafanya kazi ambayo ilihitaji uwe na profession kama mwalimu, IT technician au nyingine zifananazo na hizo haki yako kwa sasa kama hujafikia miaka 55 ni asilimia 33% tu ya iliyokuwa gross salary yako ukiwa kazini...na utalipwa hiyo 33% kwa miez6 tu na baada ya hapo subiri ufike miaka 55 upate nusu ya mafao yako yaliyobakia au miaka 60 ili ukamilishiwe malipo yaliyobaki.
Cheti cha utumishi ni lazima, iwapo barua yako haionyeshi nafasi yako ya kazi uliyokuwa unaifanya kwenye hiyo ajira.Mimi nilijaza fomu za FAO LA kutokuwa na ajira sikuona hicho kitu na tayari nimeshalipwa.
1.Kachukue barua ya kumaliza mkataba toka hiyo ofisi yako ikionyesha kwamba tokea tarehe hiii umemaliza mkataba nao na hutaendelea. 2. Mkataba/barua ya ajira kwa hiyo taasisi. 3.Nenda ofisi za NSSF uhakiki michango yako yote na hakikisha iko sawa na waku printie lile jedwali la michango. Kama kuna miezi michango haipo nenda mhasibu wa hiyo ofisi yako akupe salary slip kuonyesha michango ilitumwa. Kama kila kitu kiko tayari sasa nenda kadai pesa yako.Hiyo taasisi bado ipo
Kikoje hiki cheti cha utumishi mkuu?Kwasasa ni lazima ..last yeah wakati nafuatilia kilidaiwa na kiko kwenye orodha ya vitu vinavyohitajika
Miaka 55 siyo 60....Subiri ufikishe miaka 60 ndio udai mafao yako ya uzeeni.