Hiyo taasisi bado ipocha maana kwanza hio taasisi ya serikali bado ipo? hapo ndipo pa kuanzia. kama ipo je nakala za mikataba zako unazo, vitambulisho vya nssf? kisha kama vyote hapo juu vipo nenda kwa Hr wa hio ofisi ya taasisi ndio pa kuanzia. kwa maana hao ndio watakakutambulisha nssf usaidiwe. nakubali kusahihishwa
uko sahihi kabisa.Cha maana kwanza hiyo taasisi ya serikali bado ipo? Hapo ndipo pa kuanzia, kama ipo je nakala za mikataba zako unazo, vitambulisho vya NSSF?
Kisha kama vyote hapo juu vipo nenda kwa Hr wa hio ofisi ya taasisi ndio pa kuanzia. Kwa maana hao ndio watakakutambulisha NSSF usaidiwe. Nakubali kusahihishwa
Utaratibu hauko hivyo Comrade kama ilipita miezi sita baada ya kuisha kwa mkataba wake atatakiwa kuandika barua ya kuomba kibali cha kufungua madai, akishakubaliwa kupitia hiyo barua ndio atapewa fomu kwa ajili ya madai. Msiwe mnawakatisha watu moyo kama hufahamu utaratibu unatakiwa kuwa kimya.Kama hukufuatilia mafao yako ndani ya muda wa miezi 6 baada ya mkataba kuisha, tayari wana assume wewe ulipata kazi sehemu nyingine kwahiyo unachopaswa kufanya ni kuendeleza mfuko wako siyo kuchukua HELA!
Nadhani umeelewa.
Sio kweli, akienda nssf kuna form atapewa za kuomba kufungua madai ya mafao yake akieleza kwann amechelewa, personally kuna mtu nilimuassist na baada ya siku chache akapigiwa simu aende akafungue madai then baada ya mwezi mmoja akavuta mkwanja wake.Kama hukufuatilia mafao yako ndani ya muda wa miezi 6 baada ya mkataba kuisha, tayari wana assume wewe ulipata kazi sehemu nyingine kwahiyo unachopaswa kufanya ni kuendeleza mfuko wako siyo kuchukua HELA!
Nadhani umeelewa.
Acheni kumpotosha jamaa Mimi mwenyewe ni muhanga wa hili suala mkataba wangu wa kazi uliisha 2016 lakini sikufatilia mafao yangu, Siku ya kufatilia ilibidi niandike barua ya kuomba kibali cha kufungua mafao. Barua yangu ilipooitishwa ndio nikafungua mafao na mpaka muda huu tunavyoongea tayari nimeshalipwa pesa yangu, Acheni kumpotosha jamaa.Iyo pesa mkuu uisahau ishapelekwa rufiji ktk matumizi ww subiri ukigonga 60 age upewe fao la uzeeni
Sababu muda wa fao la ajira (contract termination) ni miezi 6 baada ya kuacha ajira ikipita iyo miezi mzee mbaba mi usumbufu kwa kwenda mbele utaambiwa andika barua kurlezea kwann ulishindwa kudai on time na ktk iyo barua kuna mawili kukunaliwa au kukataliwa
Hawa wanapotosha watu, MTU kama kitu hakijuwi ni bora ukanyamaza sio kumvunja MTU moyo. Sisi wabongo sijuwi tupoje.sio kweli, akienda nssf kuna form atapewa za kuomba kufungua madai ya mafao yake akieleza kwann amechelewa, personally kuna mtu nilimuassist na baada ya siku chache akapigiwa simu aende akafungue madai then baada ya mwezi mmoja akavuta mkwanja wake.
Akafuatilie tu, maana wewe unajua zaidi.Utaratibu hauko hivyo Comrade kama ilipita miezi sita baada ya kuisha kwa mkataba wake atatakiwa kuandika barua ya kuomba kibali cha kufungua madai, akishakubaliwa kupitia hiyo barua ndio atapewa fomu kwa ajili ya madai. Msiwe mnawakatisha watu moyo kama hufahamu utaratibu unatakiwa kuwa kimya.
Mku naomba kujua kama umepata Ridandansi na hutaki tena kuajiriwa naweza kulipwa fedha zangu zote.Utaratibu hauko hivyo Comrade kama ilipita miezi sita baada ya kuisha kwa mkataba wake atatakiwa kuandika barua ya kuomba kibali cha kufungua madai, akishakubaliwa kupitia hiyo barua ndio atapewa fomu kwa ajili ya madai. Msiwe mnawakatisha watu moyo kama hufahamu utaratibu unatakiwa kuwa kimya.
Sasa hapo ka potoshwa wapi?Acheni kumpotosha jamaa Mimi mwenyewe ni muhanga wa hili suala mkataba wangu wa kazi uliisha 2016 lakini sikufatilia mafao yangu, Siku ya kufatilia ilibidi niandike barua ya kuomba kibali cha kufungua mafao. Barua yangu ilipooitishwa ndio nikafungua mafao na mpaka muda huu tunavyoongea tayari nimeshalipwa pesa yangu, Acheni kumpotosha jamaa.
We Bwana hebu tujuze jambo muhimu wadau serikalini umefanya muda gani na NSSF umechangia Muda gani, ili tuone namna ya kukudadavuliaHabari za mida hii Bandugu, twende kwa hoja moja kwa moja, mimi nilifanya kazi taasisi moja ya kiserikali sasa mkataba wangu wa kazi umeisha tokea mwaka 2019.
Sikuongeza tena mkataba na pia sikufatilia mafao yangu NSSF sababu nilisafiri mbali kumuuguza Mzee wangu now nimerudi wadau nianzie wapi msaada wenu.
Kama kazi uliyokuwa unafanya haikuwa ya kitaaluma, unaweza kupata pesa yako yote.Mku naomba kujua kama umepata Ridandansi na hutaki tena kuajiriwa naweza kulipwa fedha zangu zote .