Nianzie wapi kusoma programming Languages

Nianzie wapi kusoma programming Languages

Hii ni nzuri sana kwa watu wa Web design and programming
Je hamna video tutorials kwa programing language nyingine kama C,C++,Paschal java etc

Pia ingia site za torrents hasa kickass halafu search "CBT Nuggets" hawa nao wako vizuri, nadhani na za Java utapata
 
Pia ingia site za torrents hasa kickass halafu search "CBT Nuggets" hawa nao wako vizuri, nadhani na za Java utapata

kwa kuwacheki kwa jicho la haraka CBT nuggets hawana C,CC++ programming
Nimependa wana Linux tutorial nilishaisoma ila kuna vitu vilikua vina matatatizo naona wanavyo nafikiri ntavipitia
 
Anza C programming language then after jifunze data structure and algorithms then endelea na Cpp or Java
 
Coder au modern engineer yyt ambae bado hatumii linux anakosa vitu vingi sana

Mfano???
Ama ndio ule ule ukiritimba na ushamba kwamba elite yoyote asiyetumia iPhone anakosa vitu vingi sana. Halafu unakuta anayebwatuka hivo matumizi yake ya iPhone na mtu mwenye Huawei hakuna tofauti.
 
Okky ngoja nikupe mfano,
Kuna programs nyingi wanazohitajji coders au engineers ambazo kwa windows zinakua either ni za kulipia au kwa upande wa windows zinahitaji resources nying sana na hivyo kuwa slow sana ukilinganisha na za kwenye linux

Photoshop, graphics na video(zote ziko free sio za kulipia kama kwa windows)
1)GIMP - hii ni kama adobe photoshop kwa linux lkn iko free na inarun faster zaidi kwenye linux
2)Natron - hii ni ya kuedit videos na ni alternative nzuri kwa adobe after effects coz yenyewe iko free
3)Blender - hii ni kwaajili ya animations, ofcoz kuna windows version yake lkn research zinasema inarun faster zaidi kwenye linux

Engineering, Architecture and 3D design, Electrical
1)OpensCAD - hii ni alternative ya AutoCAD, iko free ofcoz sio kama autocad ambayo ni mpaka ulipie

2)BOSSA - Kuandika codes kwenye Atmel's SAM na ARM microcontrollers(free)

3)Fritzing - Electronic design and automation (free)

4)gEDA PCB - kuandika na kuprint PCB (printed circuit boards) free

5)Caneda - Schematic capture and circuit design

6)CADABRA - Computer algebra system for mathematicians and engineers

7)GNU PSPP - hii ni balaa kwenye analysis of statistical data na iko free, ni alternative ya SPSS

8)gret1 - hii inadeal na issue za econometrics

Na nyngme nyingi sana ambazo kwa windows unalipia pesa nying na bado unapata perfomance mbovu ila kwa linux things are a bit smooth and free

Kwa upande wa coding hapo sitoziandika coz ukitaka kufanya programming kwa language yyt ile, linux ina programs nying za kukusaidia kufanya hicho kitu

HERE IS A REAL KICKER!!!
-->Ulishasikia virus ya Linux????(kama zipo ni chache mnoooo kwa virus moja ya linux utakuta virus 100 za windows)

But all in all sio lazima kutumia Linux coz matumizi ni yako na option ni yako, but pia sio vibaya kufanya kitu kipya na kuachana na mazoea
 
matumizi ni yako na option ni yako, but pia sio vibaya kufanya kitu kipya na kuachana na mazoea

Windows has more user base and support compared to Linux and Mac OS. Period.

Hivi mwanao akiwa na interest ya kujifundisha App Development utamshauri aanze na Android Development ama iStore development????

Unadhan ni kwa nini pamoja na Windows kuwa na hizo "discrepancies" ulizodai hapo juu mbona bado (na itaendelea) kuwa na the largest user base than all operating systems??

Majibu ya maswali yangu baki nayo moyoni.
Najua hapa huwezi andika kilichoko moyoni kwako. Utaandika kiushabiki.
 
Okay, have a good time
 
aisee kiongozi naomba nisaidie, ni version ipi ya linux ni nzuri kwa matumizi ya kawaida na ipi ni nzuri kwa matumizi ya programming.
Kwa matumizi ya kawaida kabisa kuna hii inaitwa parrot Home/workstation. Hii ni kwa watumiaji wa kawaida tu wanaopenda privacy wakiwa mtandaoni.

Kwa matumizi ya programming na cybersecurity kuna parrot SECURITY,

Waweza kuziangalia hapa
Screenshot_20190707-213134.png

Link https://www.parrotsec.org/download.php
 
hapana ndugu,everythng is possible usimkatishe tamaa anaweza akaja kua bakhresa wa baadae
Mbongo ni Mbongo tu sasa yeye anaemzalau mwenzie unaeza kuta ndo walewale lakini anajiona kama mzungu aliedgundua hizo mambo!
 
Check video tutorials za jamaa anajiita "Patrick Washington"..
Hii ni nzuri sana kwa watu wa Web design and programming
Je hamna video tutorials kwa programing language nyingine kama C,C++,Paschal java etc
 
Back
Top Bottom