geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
- Thread starter
- #21
ukianza kwa kusoma c au c++ itakuwa vizuri lakini hata pascal ingawa ni ya kitambo
mia jomba
ukianza kwa kusoma c au c++ itakuwa vizuri lakini hata pascal ingawa ni ya kitambo
ukianza kwa kusoma c au c++ itakuwa vizuri lakini hata pascal ingawa ni ya kitambo
Kwanza jifunze vizuri sana C language na wakati wa kujifunza nakushauri usitumie windows tumia Os yoyote ya Linux ukipata Ubuntu,OS lunar sio mbaya hata Mac OS X unaweza kutumia. Ukielewa vizuri syntax za C languages hizo nyngine syntax nyingi huwa zinafanana vitu vichache sana vinaongezeka. Kwa hiyo ukitoka C unaweza kujump to Java ambayo ni Object Oriented kama unataka kupiga pesa kisela unaweza kuvamia hata PhP,HTML & CSS,MySQL ila cha umihumu uwe deep katika C
Big results now ni janga kwa taifa la leo.
Kiswahili tu unaandika hivi, je syntax za programming utaziweza!!? Labda kama unasoma kujifurahisha na sio programmer

mkuu niko vizuri ktk PHP, mysql, html na css hzo deal nitapateje mjini hapa nipe ujanja.
am going to be a programer and web developer together with being gamer,xo hujanishauri, ni bora ungenishauri kwanza
ametumia code
mkuu niko vizuri ktk PHP, mysql, html na css hzo deal nitapateje mjini hapa nipe ujanja.
Kiswahili tu unaandika hivi, je syntax za programming utaziweza!!? Labda kama unasoma kujifurahisha na sio programmer
Mkuu, kuna website yoyote ambayo inaweza ikasaidia ktk vitu kama materials na vikorokoro vingine vinavyohusiana na somo hilo? Kama ipo iweke tafadhaliKwanza jifunze vizuri sana C language na wakati wa kujifunza nakushauri usitumie windows tumia Os yoyote ya Linux ukipata Ubuntu,OS lunar sio mbaya hata Mac OS X unaweza kutumia. Ukielewa vizuri syntax za C languages hizo nyngine syntax nyingi huwa zinafanana vitu vichache sana vinaongezeka. Kwa hiyo ukitoka C unaweza kujump to Java ambayo ni Object Oriented kama unataka kupiga pesa kisela unaweza kuvamia hata PhP,HTML & CSS,MySQL ila cha umihumu uwe deep katika C
Check Tutorials za hawa jamaa wanajiita "Tutsplus", "Lynda" na "Video2Brain" kwenye Torrent sites
Daaah mie hilo somo ndo limenipga break mwaka mzma chuo na sasa hata sjamalza mwez nipo home napga ma inshu mtaani.
pole ni st joseph mana ndio wenye kamfumo hakoDaaah mie hilo somo ndo limenipga break mwaka mzma chuo na sasa hata sjamalza mwez nipo home napga ma inshu mtaani.