Nianzeje kumsemesha?

Nianzeje kumsemesha?

Mtume rafiki yako akakuongelee ila jua atakwenda na maji
 
hujakomaa wewe. kama hujui uongee nini, huna ubavu wa kuishi na wadada wa siku hz
 
Oooh! Sorry,tafakari sana uone la kufanya,Jf kwa style hii ni vigumu kupata uamuzi sahihi,hebu jiamini kidume ondoa soni,mwendee bint muelezee kuhusu hisia zako kwake,mbona simple kiasi sana na hivi una namba yake.

Nimekuelewa mkuu, nimepata kitu,
 
mzoee kidogo kidogo ataeleweka tu

Nafikl hii ilikua njia nzur, ugum unakuja kwamba natakiwa kutoka nje ya mji kikaz, si unajua hiz ajira mpya nazo! japo sio mbali saana ko kumzoe bado itakua ngumu na yy yupo hapahapa mjin ila mm nitakua mbal nae kidogo ni mwendo wa masaa 4 kutokq mjin alipo na ntakua huko kazn,,
 
Back
Top Bottom