nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,889
- 14,592
Last edited by a moderator:
IQ yako ndogo sana
Lol. sasa kama mtu wa dini na wewe una nia safi kweli yakuoa jipange nenda kwa peleka posa salam atazikuta kwao,Sio wakwanza, shida iliyopo nikukosa mazoea naye alafu ni mtu wa dini sana....
tumia mshenga umalize kazi..
Mpaka unataka kuoa bado domozege wala hayuko serious ni woga wako tu huo na madomozege wako hivyo sasa mpaka namba ya simu umepewa unashindwa hata kutuma msg au na mkono nao mkonozege
Sio wakwanza, shida iliyopo nikukosa mazoea naye alafu ni mtu wa dini sana....
Una miaka mingapi? huyu ndio G/F wako wa kwanza?