nswambe george
Member
- Apr 13, 2015
- 22
- 5
Kuna dada tunaishi naye mji mmoja na huwa siku zote naogopa kumueleza hisia zangu jinsi alivo ni yupo serious mda wote, nampenda sana. Katika pitapita zangu jana nikakutana nae nikafanikiwa kupewa namba ya simu.
Kumpigia bado anaonekana yuko mbali sana japo sijui ndo alivo! Na kwakuwa namfahamu nataka kumuoa ila najaribu kufikiri nitumie njia gani japo hadi sasa hivi sijaongea nae lolote.
Jamani ushauri wenu