NIAMINI Mzee... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NIAMINI Mzee...

Discussion in 'Jamii Photos' started by VUTA-NKUVUTE, Sep 27, 2012.

  1. VUTA-NKUVUTE

    VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

    #1
    Sep 27, 2012
    Joined: Nov 25, 2010
    Messages: 5,733
    Likes Received: 5,100
    Trophy Points: 280
    Picha inajieleza.Ni kama vile Profesa Mwandosya anamwambia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...nyinyi mnaonaje wakuu?
     

    Attached Files:

  2. zimwimtu

    zimwimtu JF-Expert Member

    #2
    Sep 27, 2012
    Joined: Mar 7, 2012
    Messages: 1,769
    Likes Received: 526
    Trophy Points: 280
    sawa sawa
     
  3. Obama wa Bongo

    Obama wa Bongo JF-Expert Member

    #3
    Sep 27, 2012
    Joined: May 10, 2012
    Messages: 4,412
    Likes Received: 1,175
    Trophy Points: 280
    hapo anamwambia kijana rais hawezi kutoka mkoa wa mbeya!
     
  4. m

    mamajack JF-Expert Member

    #4
    Sep 27, 2012
    Joined: May 21, 2012
    Messages: 1,163
    Likes Received: 12
    Trophy Points: 135
    enzu hizo hawjaanza wizi,hata sura inaonesha,
     
  5. G

    Gene Senior Member

    #5
    Sep 27, 2012
    Joined: May 2, 2012
    Messages: 192
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    [​IMG]
     
  6. PhD

    PhD JF-Expert Member

    #6
    Sep 27, 2012
    Joined: Jul 15, 2009
    Messages: 3,803
    Likes Received: 777
    Trophy Points: 280
    huyu mrefu na kaunda nyeusi ni nani tafadhali, naona biti la mwalimu mkiongea nae wote mikono nyuma na mbele kwa uoga wa kinafiki kama seminari za wakatoliko
     
Loading...