You are absolutely right, halafu kwani wanatangazaga. Unakuta maiti tu.hapa ni usanii m2pu.
dunia ya leo kuna wa kunywa sumu kwa ajil ya kupenda?
i can not buy this thing!
wanawake wa kizazi hk?
ooh come on!
stop kidding
hapa ni usanii m2pu.
dunia ya leo kuna wa kunywa sumu kwa ajil ya kupenda?
i can not buy this thing!
wanawake wa kizazi hk?
ooh come on!
stop kidding
Pumbafu kabisa, watu wanakuta hadi kondomu kwenye suruali zetu na bado wanakua wapole wewe kukuta picha ndio unywe sumu? ungekuwa mke wangu nadhani ungekuwa umeshakunywa sumu tangu maiaka mingi....take your heart girl and move on huyo ni wako tu
nawe weka picha ya rafiki yake kwenye simu yako.
Kwani nimekosa nini katika hii dunia? Kama uzuri ninao wakutosha mpaka kutongozwa kila ninapopita. Ila huyu mwenzangu kanidharau vya kutosha mana nimekuta picha za rafiki yangu kwenye simu yake jioni hii. Bora ninywe sumu nimuachie aendelee na rafk yangu.
Kumbe mnaonaga sifa eeeehhhh???
hapana sikua na maana hio, i meant kwamba kuna matukio yanaweza kuwa mabaya zaidi ya hilo la kukuta picha....usinielewe vibaya MpwaKumbe mnaonaga sifa eeeehhhh???