Niambie chochote cha kunijenga.

Niambie chochote cha kunijenga.

Canop

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
175
Reaction score
28
Nawapenda wana MMU wote na zawadi yangu ya usiku wa leo kwenu ni maneno toka vitabu vitakatifu vya Mungu:
1. Biblia-Zaburi 130
2. Quran- Suratul A'LAA 87
Kwa sehemu yako soma kabla ya kulala!
 
okey.. cha kukujenga tafuta hela naona unajua Mungu afadhali,... ila kwa sasa tafuta hela dhat all
 
BWANA, toka vilindini nimekulilia. Bwana, uisikie sauti yangu.Masikio yako na yaisikilizeSauti ya dua zangu. BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu,Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha,Ili Wewe uogopwe. Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja,Na neno lake nimelitumainia. Nafsi yangu inamngoja Bwana,Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi,Naam, walinzi waingojao asubuhi. Ee Israeli, umtarajie BWANA;Maana kwa BWANA kuna fadhili,Na kwake kuna ukombozi mwingi. Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.

Zaburi 130:1-8
 
cha kukujenga
1.Baki njia kuu acha michepuko.
2.Kama unapenda sket fupi za wanafunzi mshonee mkeo kama mwanamke kama unampenda mwanafunzi wa kiume utajibeba
3.Wazo la maana hakuna kitu cha heshima kama c.h.upi hata kama itachakaa haitadekia
4.Kuiba na Kuibiwa kupo cha ajabu nini ?
5.Ukikataa Kubadilika wakati Utakubadilisha.
6.Ukawa habari ya mjini
 
BWANA, toka vilindini nimekulilia. Bwana, uisikie sauti yangu.Masikio yako na yaisikilizeSauti ya dua zangu. BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu,Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha,Ili Wewe uogopwe. Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja,Na neno lake nimelitumainia. Nafsi yangu inamngoja Bwana,Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi,Naam, walinzi waingojao asubuhi. Ee Israeli, umtarajie BWANA;Maana kwa BWANA kuna fadhili,Na kwake kuna ukombozi mwingi. Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.

Zaburi 130:1-8

Sina la kusema zaidi ya kukupongeza na kumwomba Mungu akuzingire kwa damu takatifu ya mwanaye wa pekee Yesu kristo maishani mwako mwote!
 
Hii ilinijenga, natumai pia utajengeka. Japo ni tangazo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom