Ivyo vitu n mali ya demu sio harmonizer so demu alikuwa ni wakishua ila Harmo ni choka mbaya anaishi kwa demuLeo nimebahatika kuangalia video ya huu wimbo, niambie. Nikisikiliza maneno nasikia umenipendea nini ingali sina dough(pesa). Mara mangi asije kukudanganya na kilo ya unga. Sina kazi hata senti tano kipande.
Sasa najiuliza mtu gani ana shida anaishi maisha ya kwenye hio video? Hayo magari,majumba kweli ni maisha ya mtu asie na hela? Anapoteza muda kwa kucheza tennis, hio racket ya tennis masikini hawezi kununua achilia mbali membership ya tennis club! Mwanamke unaeishi nae humo akiliwa na muuza genge sio kwasababu ya pesa.
Haya ndio mambo ya bongo movie jambazi anavua viatu mlangoni. Hamna washauri au ndio wamekariri video lazima iwe na nyumba na magari mazuri?
You nailed it.....ni upuuzi wa hali ya juu...maudhui ya wimbo hayaendani...na video....nawashauri...wawe wanafanya consultation kabla ya kutoa video...Leo nimebahatika kuangalia video ya huu wimbo, niambie. Nikisikiliza maneno nasikia umenipendea nini ingali sina dough(pesa). Mara mangi asije kukudanganya na kilo ya unga. Sina kazi hata senti tano kipande.
Sasa najiuliza mtu gani ana shida anaishi maisha ya kwenye hio video? Hayo magari,majumba kweli ni maisha ya mtu asie na hela? Anapoteza muda kwa kucheza tennis, hio racket ya tennis masikini hawezi kununua achilia mbali membership ya tennis club! Mwanamke unaeishi nae humo akiliwa na muuza genge sio kwasababu ya pesa.
Haya ndio mambo ya bongo movie jambazi anavua viatu mlangoni. Hamna washauri au ndio wamekariri video lazima iwe na nyumba na magari mazuri?
Ila mimi naona video ingekuwa nzuri iwapo tungeona maisha ya Harmonize akiwa hana kitu, na upande wa pili akienda kwa huyo demu tuone anazo. Sasa video imeonesha maisha mazuri tu hamna hilo rhumba analoliimba. Inakuwaje awe na wasiwasi muuza duka atamuhonga kilo ya unga mwanamke tajiri hivyo?Hii ngoma pamoja na video yake vina maana kubwa sana kwa maisha ya wote wawili...
Mosi, ni kweli Wolper alienda kwa Harmonize wakati Harmonize akiwa hana kitu ingawaje kwa mbali alishaanza kunukia mavumba
Pili, wakati Harmonize anajiandaa kuachia hiyo ngoma waka-fake kuachana...
Tatu, baada ya muda mfupi wa tangu kuachiwa hiyo ngoma, drama za kuachana zikageuka kuwa sio drama tena bali reality!
Nne, inasemekana hivi sasa Harmonize yupo na demu mwenye mawe ya kutosha kama aliyojisingizia Wolper kwenye hiyo video!!!!
Hii video haiendani na anachoimba.Video za wasanii wetu lazima ziwe na magari na majumba ya kifahari,manguo ya rangi rangi bila kusahau mabinti na vichupi ukitoa video bila ivyo vitu ukafuata uhalisia wa ulichoimba wenye timu zao lazima wakushambulie.
NIAMBIE audio ni tofauti na video watapambana hapa ku-justify eti alikua mariooo ila hakuna sehemu kasema vile vitu ni vya binti [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kwanza linganisha maudhui ya Niambie ya Harmonize na Zari la Mentali wa Profesa J!Ila mimi naona video ingekuwa nzuri iwapo tungeona maisha ya Harmonize akiwa hana kitu, na upande wa pili akienda kwa huyo demu tuone anazo. Sasa video imeonesha maisha mazuri tu hamna hilo rhumba analoliimba. Inakuwaje awe na wasiwasi muuza duka atamuhonga kilo ya unga mwanamke tajiri hivyo?