Niagize flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi zaidi

Niagize flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi zaidi

Mkuu, kwa sasa anayehitaji atowe tu oda, pay on delivery.

kama unapata faida garamikia capital mkuu, thats business! kama huwaamini wa2 ungesema mtu atume ata 30percent ukileta mzigo amalizie, hapo vip?
 
Tuweni makini pia na kuaminiana kirahisi.hasara ni hasara tuu hata km ni 10.sasa hii risky mtu yuko kisiwani kweli.....,maaaana utapeli hata km uko mtaa mmoja ni risky tuu.tafadhalini wa JF tuwe makini.sio mpaka mmoja wetu kwenye hii thread atapeliwe
 
unadhani mimi naweza kuwa tapeli?.

tuweni makini pia na kuaminiana kirahisi.hasara ni hasara tuu hata km ni 10.sasa hii risky mtu yuko kisiwani kweli.....,maaaana utapeli hata km uko mtaa mmoja ni risky tuu.tafadhalini wa jf tuwe makini.sio mpaka mmoja wetu kwenye hii thread atapeliwe
 
hello fadhili. naomba kufahamu bei ya plasma tv kuanzia inch 42. pia naomba kujua iwapo ni tv mpya au used. tafadhali
 
Nmepata so far inch 42 LG ni laki 8 mpaka 7 na nusu, nikipata 55 au 60 muda wowote nitaku-update.

Hiyo LG uliyoiona iko kwenye hali gani? na Model number yake ni ngapi?
32 inc LED zinaendaje mkuu?
 
Ni mpya. used pia zinapatikana ukihitaji, nitakuulizia hiyo plasma tv j3

hello fadhili. naomba kufahamu bei ya plasma tv kuanzia inch 42. pia naomba kujua iwapo ni tv mpya au used. tafadhali
 
zanzibar nilipoenda kipindi kile 2008 bei za vitu vya kielectroniki vilikua bei nafuu sana compare to dar sijui kwa sasa.
 
Tuweni makini pia na kuaminiana kirahisi.hasara ni hasara tuu hata km ni 10.sasa hii risky mtu yuko kisiwani kweli.....,maaaana utapeli hata km uko mtaa mmoja ni risky tuu.tafadhalini wa JF tuwe makini.sio mpaka mmoja wetu kwenye hii thread atapeliwe

Hehehehe mkuu upo??? Bado unataka blackberry 8520 we bwana wewe
 
Back
Top Bottom