Niagize flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi zaidi

Niagize flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi zaidi

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Wakuu,
Nipo Zanzibar kwa shughuli binafsi mpaka jumanne tarehe 28 may nitakaporudi Dar. Katika pitapita zangu madukani hapa nimekutana na flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi sana, inauzwa 250,000/= tu. Kwa anayehitaji anipigie simu nimchukulie na atanirudishia pesa yangu nikifika Dar.

item_L_4656657_1223036.jpg

Specification of Wega Star 24 Inch LED TV:

• Screen size: 24""
• Aspect ratio: 16:9
• Pixel pitch: 0.2715mm
• Max. resolution:1,920 x 1,080 • Contrast ratio: 1000:1
• Brightness: 300cd/m2;
• View angle: 176° horizontal, 176° vertical;
• Response time: 5ms
• Display color: 16.7M
• OSD languages: English, German, France, Italian, Spanish, Chinese, etc (optional)
• TV system: PAL, SECAM,NTSC,
• TV sound: BG/DK/I/M optional
• De-interlace 3D/Comb Filter 3D
• Bit Drive 8Bit
• TV Channel;200
• Picture control: contrast, brightness, color, hue, sharpness
•AV Stereo /Balance BASS/TREBLE/Sound Mode/ Nicam
AUDIO, USB, 3 HDMI,PC AUDIO,VGA,TUNER,COAX

Kwa anayehitaji anipigie muda wowote kwenye 0769142586

Updates 28/05/2013:
Zimeisha.
 
fadhili paul chukua mie nitakurefund ukifika dar na kuongeza kidogo ya soda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Paul inch 55 au 60 inaweza kuwa taranta ngapi?
 
Mtu kukutumia pesa ni ngumu na mazingira ya utapeli yalivyo Duniani.bora ungesema ktk plan zako umepanga kuleta km biashara hizo mali then unatafuta wateja wa uhakika.mie nahitaji Tv.flat screen inch 24 sio mbaya lkn bei naona ni sawa na huku Dar.sasa ndugu utofauti au urahisi uko wap?plus unataka tukupe cha nauli sasa si itafka 300K
 
Kama unaweza kupata dar tv ya namna hii kwa bei hii basi usisumbuke na keyboard ya pc yako, just go and buy it.
Kama hutapata Dar sasa unaweza kuagiza tu utalipa on delivery.

Kama bado una swali njoo tena.

Mtu kukutumia pesa ni ngumu na mazingira ya utapeli yalivyo Duniani.bora ungesema ktk plan zako umepanga kuleta km biashara hizo mali then unatafuta wateja wa uhakika.mie nahitaji Tv.flat screen inch 24 sio mbaya lkn bei naona ni sawa na huku Dar.sasa ndugu utofauti au urahisi uko wap?plus unataka tukupe cha nauli sasa si itafka 300K
 
Kama unaweza kupata dar tv ya namna hii kwa bei hii basi usisumbuke na keyboard ya pc yako, just go and buy it.
Kuhusu kuniamini, hiyo ni juu yako, imani yako ndiyo itakuponya. BALI MI SIWEZI KUKUTAPELI PESA HIYO ILI HALI JINA LANGU NALIPENDA. Unaweza pia ku-post hapa kama ushahidi kuwa umenitumia na mimi nita-confirm hapa hapa, kisha tunza sms ya uthibitisho kuwa umenitumia. Jina ninalotumia hapa ni halisi na namba yangu ni hiyo siwezi badili mpaka nife.

Kama bado una swali njoo tena.

mkuu watu wanatapeliwa na ndugu zao sembuse wewe ambaye hawajawahi kukuona, my question is, WHAT IS IN FOR YOU? kama commision inakupa faida(incase) nadhani ungeshughulikia capital mwenyewe watu waje wanunulie huku, au umeamua kutoa tu msaada? jina lako haliwezi kua usalama wa pesa za watu. maoni tu, no offense mkuu.
 
Mkuu,
Maoni yako yamechukuliwa. NI KWELI MATAPELI WAPO ila si sababu ya wewe kutofanya biashara. A business man is a risk taker. Kwa hakika kuna faida nitapata (au hupendi mkuu?) lakini na wewe nitakuwa nimekusaidia kwa namna moja au nyingine. Ukinithibitishia kuwa utakuwa na hiyo pesa nikitua tu bandarini dar na unaihitaji nipigie nitakuchukulia maana sihitaji kufanya biashara hii ndiyo maana hata mimi naogopa kwani hata wewe unaweza kuwa mzinguwaji.

mkuu watu wanatapeliwa na ndugu zao sembuse wewe ambaye hawajawahi kukuona, my question is, WHAT IS IN FOR YOU? kama commision inakupa faida(incase) nadhani ungeshughulikia capital mwenyewe watu waje wanunulie huku, au umeamua kutoa tu msaada? jina lako haliwezi kua usalama wa pesa za watu. maoni tu, no offense mkuu.
 
kama unapata faida garamikia capital mkuu, thats business! kama huwaamini wa2 ungesema mtu atume ata 30percent ukileta mzigo amalizie, hapo vip?
 
Back
Top Bottom