Niachieni CCM yangu

Hivi watu wa Tanzania mbona hamna shukurani? CCM imekutoeni mbali, kumbukeni CCM imezaliwa na TANU na ASP, kwa hiyo Bila CCM watu wa bara na visiwani msingepata uhuru.

Mazuri yote mnayoyaona yanatokana na CCM, elimu uliyonayo ni CCM, maisha yako ya zamani na sasa ni CCM, uhuru wa kuongea, kuabudu na vyombo vya habari ni CCM, jamani mbona mnalaumu uongo?

Kumbukeni hata hivyo vyama vyenu vya siasa mnavyoviita upinzani bila CCM visingekuwepo. Loh! niachieni CCM yangu.

Watu gani nyie msio na shukurani, baba ni baba tu, hata siku moja bega halizidi kichwa hata kama linaonekana ni kubwa. TCCM tutashinda siku zote na miaka yote.

Nawasilisha.

Umesahau kuandika wizi EPA, Meremeta,Richmond,DOWANS, etc vyote ni CCM
Wizi wa madini na mikataba feki iliyosainiwa na watu ambao utafikiri wasoma shule ya ngumbaru vyote ni CCM
Kukaribisha wawekezaji feki na kuwagawia maeneo ya wananchi bure na kusababisha migogoro ya ardhi kila kona ya nchi vyote ni CCM etc........................................................
 
yani kama ni kuchoshwa na mambo Ccm wanayoyafanya basi mi nimo..Redy 4 anything,please toeni mawazo ya kuwatoa hawa wa2 madarakani...

Elimisha kila unayefanikiwa kuwa naye karibu, wa mbali tumia nyenzo kama hizi, usisahau kuwaambia watumie haki yao ya kupiga kura kuiondoa huyu BABU MCHOVU CCM!!
 
Nimekukubali mkuu. Ndio maana wanaweka watu wenye maadili ili CCM isonge mbele.
Tatizo si CCM tatizo ni wanaoiendesha CCM ndio wanaifanya ionekane haifai. Nina Imani wakijirekebisha na kuwa na Serikali thabiti kama ya Mwl Nyerere CCM haina shida.
 
Watu wa kijijini wanajua nchi inatawaliwa na CCM sio Mwal. Nyerere, vyombo vya habari viko kila mahali siku hizi, usidharau ulikotoka wewe.
kazi iliyobaki ni kuwapa elimu wa2 walio vijijin kwa kuwa hadi sasa wanajua nchi hii inatawaliwa na The late Mwlm.jk.Nyerere..
 
Huwezi kuachiwa nchi hata siku moja, unataka urithi? Urithi hautilewi hovyohovyo ndugu yangu, pole sana. nchi hii ni ya CCM pekee.

Join date 30 March 2011.Ulikuwa wapi siku zote hizi kuja kutukumbusha mema ya CCM mpaka wakiri kuwa ni chama cha kifisadi ndio ukumbuke kuna JF.Badala ya fedha za walipakodi kutumika ipasavyo kuwakwamua watanzania waliogubikwa na umasikini zinaishia kwenye posho za kuwanunulia vocha vibaraka wa mafisadi na vijisenti kidogo vya kuwawezesha kuja ku-divert focus yetu hapa JF.
 
CCM madhubuti utaiona sasa baada ya kujivua magamba na utaipenda mwenyewe na utarudi tu. Tumeona wangapi wameondoka kisha wakarudi? CCM ni chama pekee katika nchi hii kinachojiangalia kwenye kioo na kuona uchafu kicha kujisafisha.Liondoka sasa mtarudi wenyewe na vyama vya upinzani vitaisha kabisa.
Where is that CCM Madhubuti aliyoizungumzia Mwalimu?..........Ni hii iliyojaa majambazi na plan za kuuana kama mnavyotaka kufanya kwa Doctor Chegeni?

Mwalimu hakuzungumzia "CCM" Alichozungumzia ni "CCM Madhubuti" ambayo kwa masikitiko makubwa ni kuwa haipo hiyo CCM madhubuti

.....................you are just some dead shit
with your CCM
 
wewe, kijani ndio uhai wa nchi hii, dnio maana CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ni CCM pekee mimi naipenda sana na wewe ipende ili ufaidi mema yaliyojaa ndani ya nchi hii.
Thubutu yako hakuna **** tena nchi hii sn ni tunaonewa tu ma siku tukiamua hata nguo za kijani utaziona nyeupe
 
we sokwe uki-quote, quote inakaa juu umeanza lini kutumia forums dogo? bse unapoquote maana ake mtu asome kwanza kile unacho-quote ili aelewe response yako, aisee, ccm bwana hovyoooo!
 
Kicheruka hapo sasa unakosea, si CCM ilifanya hayo, ni watu kama wewe waliofanya hayo. Tangu lini kesi ya mtoto akafungwa mzazi, ndio maana CCM inawashtaki woote waliofanya hayo, chama kingine kisingeweza kabisa kufanya hayo. Ishukuru sana CCM
Umesahau kuandika wizi EPA, Meremeta,Richmond,DOWANS, etc vyote ni CCM
Wizi wa madini na mikataba feki iliyosainiwa na watu ambao utafikiri wasoma shule ya ngumbaru vyote ni CCM
Kukaribisha wawekezaji feki na kuwagawia maeneo ya wananchi bure na kusababisha migogoro ya ardhi kila kona ya nchi vyote ni CCM etc........................................................
 
Sio CCM inayochukua kodi, CCM inaongoza nchi wanaochukua kodi ni watu tena asilimia kubwa ni wale wapinzani wa CCM ili waweze kuichafua. CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi kinachotawala nchi kwa demokrasia ndugu yangu, umenielewa?

Rais wa tz ni mwenyekiti wa chadema? Tangu nchi ipate uhuru mwenyekiti wa tanu/ccm/asp ndio wamekuwa marais wa tz umasikini wetu wanahusika nao 1-1
 
CCM hovyo au CCM hoyee? rekebisha usemi haraka.
we sokwe uki-quote, quote inakaa juu umeanza lini kutumia forums dogo? bse unapoquote maana ake mtu asome kwanza kile unacho-quote ili aelewe response yako, aisee, ccm bwana hovyoooo!
 
Kutupatia uhuru sawa,kwa hiyo unashauri chochote ccm inachofanya tupige makofi? Labda lakini kawaida ya binadamu ni kufikiri na kuhoji kama vitu vinaenda ndivo sivyo kwa mtu mwenye akili lazima atajishuligha kufikiri kwanini imekuwa hivi na siyo vile,nani kasababisha tuwe pale na kivipi? Tusipofikiri na kubaini kibaya na kizuri basi UZUZU ndiyo hadhi na sifa yetu,na ujue makosa ya ccm yanapokemewa ndiyo sehem hizo wananchi maskini tunapata unafuu japo ni nadra sana
 
we, we, we, we chunga sana nimeongea upupu mimi!!!! CCM ndio chama pekee kinachoweza kuiongoza nchi hii. Bila CCM hakuna nchi bwana. uko hapo?

hamna jipya CCM nchi imewashinda naona sasa mnaimba taarab Someni nyakati watu wamechoka tuachieni njia nyie vilaza na akili zenu mgando
 
we sokwe uki-quote, quote inakaa juu umeanza lini kutumia forums dogo? bse unapoquote maana ake mtu asome kwanza kile unacho-quote ili aelewe response yako, aisee, ccm bwana hovyoooo!

Uswe nafikiri tutaona mengi zaidi ya haya kwani walishasema JF ni mwiba kwa hiyo tutegemee mageni wengi wakuvuruga lengo la JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom